eFootball Special Thread

Nataka SS ambaye atazidi starts za Messi wa bure mkuu maana anabalaa tupu, ninae Messi SS walinipa wiki ile wanatolewa CWC lakini hamfikii wa bure hata kidogo.
Account yangu ile nyingine nacheza na Mbeumo kama Ss aseee ana balaa japo ni profilic winger... Ndo nikapata hamasa ya kumtafuta messi wa 105
 
Ugomvi wa kocha Martinez na Courtois wameleta adi kwenye game nimeweka tuu nashangaa Courtois wangu wa 100 kashuka mpaka 99🤣🤣🤣🤣ikabid nicheke tuu
Hamna mkuu hapo ukiona hivyo kuna kitu huyo kocha hana cha kumfanya afike 100, hata kwa Mourinho hafiki 100 😂
 
NEGAN na Edo kissy Ivi mnaotumiq LBC mnachezaje🤣🤣🤣🤣maana nipo najaribu hapa defensive kwel ni nzuri wachezaji wanamntain position muda wa kukaba ila kwenda mbele mzee ni kazi kinoma
Hiyo sasahivi inaninyookea kabisa, nikizidiwa ni mwendo wa kuswitch playstyle tu ndo raha ya kocha wa booster 1 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…