eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Leteni mbinu ya kuwafunga hawa jamaa kwenye level ya ligend maana imekuwa janga kwangu šŸ˜‚
IMG-20250628-WA0015.jpg
 
Leteni mbinu ya kuwafunga hawa jamaa kwenye level ya ligend maana imekuwa janga kwangu šŸ˜‚
View attachment 3386572
hahaha mimi niliwafunga mkuu....nilibadilisha formation mara 3..

Ukifunga rudi back 5 ....nafikiri pia Oliver Khan anawaokoa sana maana nimekosa clear chance 4 nikabahatisha 1 ndo nikapita nayo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom