eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Master ni mmoja tu humu ndani naye ni Razorblade imagine ananifunga na hii kikosi😃😃
Screenshot_20250625-152258.png

Matokeo haya hapa bila picha ni Uzushi😃😃
Screenshot_20250625-150621.png
Screenshot_20250625-152240.png
 
Mechi ya kwanza nashangaa nimerudisha goli zote 4, hujafanya sawa kabisa mkuu 😂
Ujue naangalia ndo kwwnza first half na hata dalili ya kupiga shuti huna nikasema ngoja nikuachie mawili ili upate nguvu ya kucheza🤣🤣🤣nashangaa umeludisha yote
 
Ujue naangalia ndo kwwnza first half na hata dalili ya kupiga shuti huna nikasema ngoja nikuachie mawili ili upate nguvu ya kucheza🤣🤣🤣nashangaa umeludisha yote
Na ndo kilichonikera maana nilijua kabisa hapa nafanyiwa kusudi ili nipate goli 😂
 
Back
Top Bottom