eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Wakuu habari za Asubuhi....

Wataalamu wanasema mpira sio kikosi ni uwezo nataka nijipime uwezo wangu na kikosi changu cha Mchongo leo nione kama ninao ama sina uwezo...😃

Leo nataka tucheze kwa account yangu ya selikavu...

Atakayekua free anipe Ratiba nilete code

Cc Razorblade Gilberto_ NEGAN Edo kissy Mill broh Mr Devil Kandambili1 et al

Wote mnakaribishwa kikosi ni Hiki ukiniwekea Full mkoko nitapenda zaid😃😃😃
Screenshot_20250621-115141.png
 
Wakuu habari za Asubuhi....

Wataalamu wanasema mpira sio kikosi ni uwezo nataka nijipime uwezo wangu na kikosi changu cha Mchongo leo nione kama ninao ama sina uwezo...😃

Leo nataka tucheze kwa account yangu ya selikavu...

Atakayekua free anipe Ratiba nilete code

Cc Razorblade Gilberto_ NEGAN Edo kissy Mill broh Mr Devil Kandambili1 et al

Wote mnakaribishwa kikosi ni Hiki ukiniwekea Full mkoko nitapenda zaid😃😃😃View attachment 3381164
Unahamu ya kufuta game? 😂
 
Hii account nyingine?
 
Adi usiku
 
Dah sema nilikuwa room na mshakaji account nyingine kaka ndo nimetoka saiv
Kuna simu nilikuwa nayo kuikagua nikakuta game hilo nikalifungua, mwenye simu nae ndo anaanza maana kikosi kilikuwa cha standard card toleo la mwisho 😂

Akirudishiwa simu yake atashangaa kukuta kikosi kimekua tofauti na alivyokiacha.
 
Back
Top Bottom