Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,215
- 34,048
Kheeh šumekipanga upyaKuna simu nilikuwa nayo kuikagua nikakuta game hilo nikalifungua, mwenye simu nae ndo anaanza maana kikosi kilikuwa cha standard card toleo la mwisho š
Akirudishiwa simu yake atashangaa kukuta kikosi kimekua tofauti na alivyokiacha.