Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,291
Mchukue RodriWakuu kwa 450k nimchukue yupi kati ya Haaland au Rodri
Kwasasa Nina tchoumen na Calcedo
Alafu fanya player fusion expirence ya Caicedo ije kwa Rodri
Mchukue RodriWakuu kwa 450k nimchukue yupi kati ya Haaland au Rodri
Kwasasa Nina tchoumen na Calcedo
Mimi sipo upande wowote, kwangu nazingatia matoke kwa picha ndiyomaana nimesema kazi nzuri baada ya matokeo kuwekwa.
Courtois nimemtumia sana, kwa sasa ni sub ya Dominic.Atakufa kishujaaa🤣🤣wewe si umemkataa umechukua yule wa Croatia
Unawachukulia wapi?Wakuu kwa 450k nimchukue yupi kati ya Haaland au Rodri
Kwasasa Nina tchoumen na Calcedo
Mi nimeona mmelike tu..Nlijua ni mim pekee sijamuelewa
Hii co.op mnawezaje kucheza asee😂😂😂😂 baadae mje Co-op wewe na huyo role model wako mnichangie
Ni nzuri kama mnaelewana au kama mna mpira unaoendana.. ukutane na mtu ana butua sasa afu we sio mbutuaji lazima mfungwe tu 🤣.. kuna wingine co-op ukimpa pasi ye anawaza shuti tu, anadribble kidogo kashapiga shuti 😂Hii co.op mnawezaje kucheza asee😂😂😂
Nashukuru mkuu....nipo nafanya hivo.Mchukue Rodri
Alafu fanya player fusion expirence ya Caicedo ije kwa Rodri
Co-op siyo ya kucheza na Selikavu 😂Ni nzuri kama mnaelewana au kama mna mpira unaoendana.. ukutane na mtu ana butua sasa afu we sio mbutuaji lazima mfungwe tu 🤣.. kuna wingine co-op ukimpa pasi ye anawaza shuti tu, anadribble kidogo kashapiga shuti 😂
Pale kwenye contract Kuna Standard player list....unabadilishana na GP zile....nahisi mnaita standard cardUnawachukulia wapi?
Izi fusion uwa naona ni sawa na zile experience unqzo weza mjazaMchukue Rodri
Alafu fanya player fusion expirence ya Caicedo ije kwa Rodri
Ata kama mna elewana naona ni kazi asee😂Ni nzuri kama mnaelewana au kama mna mpira unaoendana.. ukutane na mtu ana butua sasa afu we sio mbutuaji lazima mfungwe tu 🤣.. kuna wingine co-op ukimpa pasi ye anawaza shuti tu, anadribble kidogo kashapiga shuti 😂
We team Gilberto 😃😃Mimi sipo upande wowote, kwangu nazingatia matoke kwa picha ndiyomaana nimesema kazi nzuri baada ya matokeo kuwekwa.
Aseee😃😃me bado sijamuelewa ..Courtois nimemtumia sana, kwa sasa ni sub ya Dominic.
Hao wa standard mzee😃😃Unawachukulia wapi?
Me mwenyewe ishanishinda nimecheza game kama tatu hivi natoka kapa tu kila sikuHii co.op mnawezaje kucheza asee😂😂😂
Mfano mimi na wewe tuwe team moja😃😃😃🙌Ni nzuri kama mnaelewana au kama mna mpira unaoendana.. ukutane na mtu ana butua sasa afu we sio mbutuaji lazima mfungwe tu 🤣.. kuna wingine co-op ukimpa pasi ye anawaza shuti tu, anadribble kidogo kashapiga shuti 😂
Yupo njema.Aseee😃😃me bado sijamuelewa ..