eFootball Special Thread

Una account 3, unazimudu vipi?

Kuna ndugu yangu hakulink account yake halafu simu akabadirisha na account imeenda.

Kama unaachana na account utanipanga, namuombea.
Ile moja jamaa alisema kapata mteja nikamludishia akala hela nimebakiza mbili zangu hii ya siku zote na ya Japan....
 
Kaka umewaz nini 🤣🤣🤣🤣 nimecheka kinoma yan comment yangu kuikuta uzi mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…