Aina nomaKesho mkuu๐๐, nina sababu kibao nisijitetee sana
Uliweka zile settings ulizopewa kaka??Baada ya muda mrefu kwa kiasi nime-enjoy game tangu kuisha kwa maintanache mpaka muda huu, imebidi nimalize events zote yani ili likianza kusumbua nisipate tabu ๐
View attachment 3366346
View attachment 3366347
Hamna nilikuwa nazitafuta ila baada ya kuona game halizingui nikapotezea kwanza, mashabiki wanaongeza mzuka ๐Uliweka zile settings ulizopewa kaka??
Kumekucha!Cdg to nv
Huku Bado tume lalaKumekucha!
Upo single na unalala mpaka muda huu acha kuumiza mwili bila sababu za msingi ๐Huku Bado tume lala
Sasa uli taka raisi wa ma jobless pro max niende wapi ๐ ๐Upo single na unalala mpaka muda huu acha kuumiza mwili bila sababu za msingi ๐
Amka na utazame series, ukiwa single kulala muda wote huo ni makosa kisheria ๐Sasa uli taka raisi wa ma jobless pro max niende wapi ๐ ๐
Pc iko karibu, ila acha nilale kwanza, ๐Amka na utazame series, ukiwa single kulala muda wote huo ni makosa kisheria ๐
Tutapanda leo mkuu ,na mimi simu ilikua low sanaMkuu nlikuwa na burst simu.
Sio mashabiki tuu hata commentary hakuna๐Hamna nilikuwa nazitafuta ila baada ya kuona game halizingui nikapotezea kwanza, mashabiki wanaongeza mzuka ๐
Umeanza vitu vya maghayo kaka๐๐Cdg to nv
Me nipo na wewe kwenye hii match ๐๐๐ฅTutapanda leo mkuu ,na mimi simu ilikua low sana
Unachezaje bila namba sitaKuna muda ubunifu huleta dhahama....Kuna huyu jamaa alitumia hii formation aiseh nilimnyoosha 5 first half... second half hakurudi tena
Nimembonda hadi aka quitUnachezaje bila namba sita