eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

😅😅vipi jamaa Kakupiga sana ,
Huyu jamaa ndiye aliyenifundisha game... Mara ya kwanza kabisa alikuwa ananipa mara moja moja nacheza kabla sijaweka kwenye simu yangu

Anatumia smart assist alafu kaimaster ni kazi kumfunga leo nimebahatisha moja

Ana mpira kama wangu nikakumbuka Anti counter ya NEGAN aliyotumia kwangu nikatumia kwake ikatiki game ya mwisho nikamfunga tatu bila😃😃
 
kama ni master wako kwenye smart assist ishakua kipengele hiki😹sema nme tulia na formation moja saiv amna magoal ya kizembe
 
Back
Top Bottom