Aje tuu saiv nishajua namna ya kumtoka๐๐Kipara Amrabat amerudi kukichafua na Rodri ๐
Mzee wa kauli mbiu๐๐๐Matokeo bila picha ni... ๐
Uzushi๐๐Matokeo bila picha ni... ๐
Hatoishiwa nguvu, utapata mchezaji mwingine bora kuliko yeye. ๐Kwahiyo Pedri wangu kuna siku ataishiwa nguvu ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ
Hii nzuri kwa sababu na wewe umeliwa coin unyama kabisa๐๐๐NEGAN nimejaribu back 3 ipo vyema kwenye defense maana ukiwa unashambuliwa nimeona inabadirika yenyewe kuwa back 5.
View attachment 3362629
Konami wamekula coins zangu 300 na hawajanipa naemtaka, sikati tamaa mpaka wanipe naemtaka ๐
Semaa Pedri Form kuwa A ni kugusa tuu๐๐Hatoishiwa nguvu, utapata mchezaji mwingine bora kuliko yeye. ๐
Shukran mkuuNgoja tukuadd mkuu
Utakuta yangu Myunani
Umeanza kulicheza lini mkuuShukran mkuu
Back 3 ni ipo balanced na beki za kucheza back 3 pia unazo.NEGAN nimejaribu back 3 ipo vyema kwenye defense maana ukiwa unashambuliwa nimeona inabadirika yenyewe kuwa back 5.
View attachment 3362629
Konami wamekula coins zangu 300 na hawajanipa naemtaka, sikati tamaa mpaka wanipe naemtaka ๐
Full blue iwashwe mapema kabisa ata kabla mechi haijaanza๐๐๐Kaka leo uwe available night, Mambo yalikuwa mengi kidogo japo nilikuwa nagusa
Nilikuwa natumia back 5 week ngapi hizi zilizopita. Aisee huu ni mfumo wa ovyo sana๐Full blue iwashwe mapema kabisa ata kabla mechi haijaanza๐๐๐
Kaka inabidi tukamie kwanza๐Full blue iwashwe mapema kabisa ata kabla mechi haijaanza๐๐๐
Mfumo mkali sana sema Mimi sichez back 5 per se nacheza na kiungo deepline mmoja๐๐๐ili ni balance kukaba ba kushambuliaNilikuwa natumia back 5 week ngapi hizi zilizopita. Aisee huu ni mfumo wa ovyo sana๐
Huyo bila kumkamia hupigi hata shootKaka inabidi tukamie kwanza๐
match 154 goal 8 kheeh๐๐๐
Sawa mkuu.Kaka leo uwe available night, Mambo yalikuwa mengi kidogo japo nilikuwa nagusa
Labda utoke nje ya uwanja ๐Aje tuu saiv nishajua namna ya kumtoka๐๐
Si ungemuweka reserve tu mkuu ๐