Una moto na game leo kakaπππnani yupo match moja ya mwisho
Hapana mkuu tutaenda tu hiyo keshoNilikua e football league bado upo?
Wa moto mno na yeye ππTotti hatari, Torres sitaki kumuongelea sana ilaa π
π π mala moja moja sio mbaya,,tupia ya dk 10 tupande,uyo jamaa ajaja uwanjaniUna moto na game leo kakaπππ
Tuombe uhai wote mtamwona,Wa moto mno na yeye ππ
OkayNa mimi nakuadd
Myunani username yangu
Simu sikuchaji leo jioni haina chaji mkuu kesho tutaendaπ π mala moja moja sio mbaya,,tupia ya dk 10 tupande,uyo jamaa ajaja uwanjani
Poa poaSimu sikuchaji leo jioni haina chaji mkuu kesho tutaenda
Me namtaka TottiπππTuombe uhai wote mtamwona,
Nimechek kikosi chako mimi na wewe nadhani tumeanza kucheza mwezi mmoja maana na wewe upo na zile card za akina Captain Kubasa sijui...Okay
Ndo kwanza nimeanza kulicheza rasmi juziNimechek kikosi chako mimi na wewe nadhani tumeanza kucheza mwezi mmoja maana na wewe upo na zile card za akina Captain Kubasa sijui...
Inaonekana hulichezi mara kwa mara
Jitaid usikose kupiga zile penalty zao kila siku...Ndo kwanza nimeanza kulicheza rasmi juzi
πΆβπ«οΈ25450492
Wakileta epics zao za maana the same position zingine zinapotezwa. Hata Tchoumeni huyu kipindi tumemchukua alikuwa anakaba kama vita, baada ya hapo zimeletwa anchor man zingine kwenye epic yeye duh tunamtumia sisi wanyonge tu πHizi card huwa wanazipunguzia makali tena???
Kipara Amrabat amerudi kukichafua na Rodri πRazorblade anamkaba kinoma yan hatembeiππ
Mimi siyo kibonde wewe ila sina simu ya kueleweka, usinifananishe na wewe muulize huyo Mr Devil anaijua shughuli yangu ππππ Kibonde ni mimi humu mkuu nikifwatiwa na Razorblade πππ
Matokeo bila picha ni... πUtanzania wetu upo wapi?
Umoja wetu upo wapi?
Ushirikiano wetu upo wapi??
Upendo wetu upo wap??
Matokeo. Yapo wapiππππ
Kwahiyo Pedri wangu kuna siku ataishiwa nguvu π₯Ίπ₯Ίπ₯ΊWakileta epics zao za maana the same position zingine zinapotezwa. Hata Tchoumeni huyu kipindi tumemchukua alikuwa anakaba kama vita, baada ya hapo zimeletwa anchor man zingine kwenye epic yeye duh tunamtumia sisi wanyonge tu π