Halafu kuna move moja niliona umepiga double touch uka shoot🙌 Kijana umeanza kuiva😀Nimeona kaka utanshtua ukitulia😃😃
Alipiga mwenyewe sio hata mimi 😃😃😃naona Owen tangu nimebadilishe upande kuna sehemu adi anafinya alafu ana shoot mpk huwa nacheka tuu😃😃😃Halafu kuna move moja niliona umepiga double touch uka shoot🙌 Kijana umeanza kuiva😀
Hakuna kuangalia nyuma 😂Nduki 😀 🏃♂️ 🏃♂️
Ansu hakuwa muongeaji ila waongeaji wakamuharibu ila huyu dogo ni muongeaji na bado kuna waongeaji nyuma yake.Akiacha kamdomo nje ya uwanja awe kama messi yeye ni uwanjani tuu
Drone football.Ukiweka wote watatu nitapita wapi mimi😃😃
Unatumia muda mwingi kucheza game kuliko kulala halafu unataka derby na mimi 😂Sasa masaa tisa yameingiaje hapa🤣🤣View attachment 3361869
Pundit hawanaga kazi mbayaAnsu hakuwa muongeaji ila waongeaji wakamuharibu ila huyu dogo ni muongeaji na bado kuna waongeaji nyuma yake.
Saiv sichezi hiyo😃😃😃nacheza Sambaloketo ambayo ni drone football pro max🤣🤣🤣Drone football.
Kiwango changu ni kile kile bhana tucheze leo kaka 😃😃😃Unatumia muda mwingi kucheza game kuliko kulala halafu unataka derby na mimi 😂
Sichezi 😂Kiwango changu ni kile kile bhana tucheze leo kaka 😃😃😃
Acha roho mbaya bhana😃😃😃Sichezi 😂
Aje afweeIpo baada ya match yako wewe na Totti🤣🤣
Mr. Totti tupasheAje afwee