Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Ngoja tuone muda utaongea kakaNdo hivyo sasa na huyu wanampamba sana akikosa mtu mzuri wa kumtuliza sifa zinaweza muharibu.
Ngoja tuone muda utaongea kakaNdo hivyo sasa na huyu wanampamba sana akikosa mtu mzuri wa kumtuliza sifa zinaweza muharibu.
Anakusakazia Italian Prince wa 105 wakati pedri tu wa 100 anakusumbua kila siku😃😃😃Oya mbona unachomoa betri mkuu 😂
Binafsi bila coin za kununua hata Rodri nisingempata😃😃😃Watu mna spi na kamzizi😀🙌
Mshauri Selikavu akaspin 😂Coin 100 japo nlimtaka son😂🙌🏿View attachment 3361838
Mwendo wa kusagia kunguni tu😀Binafsi mimi ni Team Totti kwenye hii match ya leo🤣🔥
Ukafe tuu undugu utalud ukishafungwa🤣🤣🤣
Nilinunua zile za wizi kama elfu mbili hivi😃😃😃Watu mnanunua hadi coin😂🙌🏿
Ila dogo namuelewa, atafika mbali.Ngoja tuone muda utaongea kaka
Lini pedri kanisumbua wewe wakati alikuwa anakutana na kipara Amrabat, nikimpata Kante namuweka pamoja na Rodri 😂Anakusakazia Italian Prince wa 105 wakati pedri tu wa 100 anakusumbua kila siku😃😃😃
Litakufa jitu baadae we ngojea tuu🤣🤣🤣Totti🙌🏿
Sasa mtu anacheza game masaa 9 hawezi shindwa nunua coins 😂Watu mnanunua hadi coin😂🙌🏿
Itakuwepo tu.Wakuu leo mechi ya Coop ipo?