Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Aah wap akukute form angeongea mengine hapa😃😃😃Afu hapo akili inaniambia ingia hivo hivo utashinda ila angeniua 😄
Me mwenyewe nacheza mpira wa uoga😃
Aah wap akukute form angeongea mengine hapa😃😃😃Afu hapo akili inaniambia ingia hivo hivo utashinda ila angeniua 😄
Na anakaba😃😃Ukweli gani mtu ana card ya Nesta ya zamani mno legend kabisa yule 😄
Dakika sita zimenifany nikimbie kucheza division mzeeMechi zetu za dakika 6 hizo. View attachment 3361624View attachment 3361623
mzee wa Italian Prince Fransisco Totti😃😃leta username mkuu tukuadd
Afu kuna jamaa alisema Totti wako hana kitu chochote ni kama nunez tuu😃😃yupo humu humu
Huyo dogo simchukii mkuu ila wanampamba sana kama ilivyokuwa kwa Ansu Fati halafu nae anakamdomo flani hivi kadharau 😂😃😃😃Unavyomchukia Lamine mzee 😃😃ndo kwanza ana miaka 17 mpk afike 30 sijui utakuwa wap🤣🤣
😂 uukiwa unnaongoza 1-0 na unashambuliwa mno mbona hizo dakika ni nyingiDakika sita zimenifany nikimbie kucheza division mzee
Mpira kdg tu filimbi umeisha
Hivo hivo hahahaUkakutane na full blue😃😃
Hata mimi namuona hivo hivo, mpaka nimuone uwanjani 😄Afu kuna jamaa alisema Totti wako hana kitu chochote ni kama nunez tuu😃😃yupo humu humu
Yu wapi?Afu kuna jamaa alisema Totti wako hana kitu chochote ni kama nunez tuu😃😃yupo humu humu
Cybertrustmzee wa Italian Prince Fransisco Totti😃😃leta username mkuu tukuadd
Ansu zilizidi asee😃😃Huyo dogo simchukii mkuu ila wanampamba sana kama ilivyokuwa kwa Ansu Fati halafu nae anakamdomo flani hivi kadharau 😂
Ronaldo alivyoulizwa kuhusu Yamal, kawajibu “Muacheni mtoto akue”
Wasimjaze sana maana wanaweza muharibu kama Ansu.
Shida nikiwa division siku zote lazima nitanguliwe tuu😂 uukiwa unnaongoza 1-0 na unashambuliwa mno mbona hizo dakika ni nyingi
Ingilia Ugomvi wa Negan 🤣Hata mimi namuona hivo hivo, mpaka nimuone uwanjani 😄
Pow utakutana nayo yangu MyunaniCybertrust