eFootball Special Thread

Sema de jong wangu ananiuma😭 alikuwa ananipa kote kote defensively na akianza kwenda mbele mzeeπŸ™Œanaenda kwel kwel through passing nzuri kabisa eniwei ngoja nione Guardiola anaeweza anzia benchiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Nitakuwa nawalatea updates za watu waliochoma coin kumpata Rodri🀣🀣🀣

Ndugu msomaji unga nami mtangazaji wako Pascal Mayala njaa kali nikiwa nakuletea updates za moja kwa moja



Sema Razorblade anataka atuue kamchukua na Halaand eti pale mbele umekaba Batistuta na Drogba first half second half anainga Halaand sasa si ni uuaji huuπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Haaland hakuwa kwenye mpango wangu kabisa akili yangu ilikuwa inamuwaza Rodri, Spin ya kwanza tu wakanipa Haaland nikasema huyu simtaki, kilichonikuta sasa πŸ˜‚

Ila sijutii hizi ndo spin nazotaka, kumpata mchezaji uhakika hata nitoboke coins 500+ πŸ˜‚
 
Mkuu naomba uniache, nina hasira za furaha πŸ˜‚

Konami walichonifanyia ni unyama sana, coins 800 zimeenda kwaajili ya Rodri πŸ˜‚
View attachment 3353179
Konami washenzi sana kaka me wamekuja kunipa mwishoni


Sema kwenye hii pack nilikuwa nawataka wanne Gundogan, Halaand, Rodri na Akanji so me fresh tuuπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Halaand mzuri mzee πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…