Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,140
- 95,866
Hamna kitu hapa, kikosi chote hiki na haushindi๐Yangu after kumchukua OdoView attachment 3343652
Single movie?, lazima latest? maana siku hizi za kiwaki๐Nataka nitafute movie moja nimalize nayo weekend nipe list ya mbil tatu latest
Mnipe pole kwanza kabla sijaanza kusimuliaView attachment 3343651
Coin 600 shwaa kwa Sablozai na nimetoka hola nimepewa wote standsrd๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Oya unatumia mitishamba nini?
Nendeni kwenye uzi wa series na movies huko msituchanganyie madawa ๐Sijui kwa nini movie za miaka ya nyuma nakuwa mgumu kuangalia iwe ya 2025 season or single.
Watu wa aina hii huwa sina msaada nao, labda awe ke๐๐คฃSijui kwa nini movie za miaka ya nyuma nakuwa mgumu kuangalia iwe ya 2025 season or single.
Nina mjomba KONAMI.๐ Angalia hapo hata sikuwa na coins za kutosheleza, wamenipa zile zao 100 kuweka tu shwaa nashangaa mataa mengi ๐๐๐Oya unatumia mitishamba nini?
๐
Huyu anatumia dawa za kienyeji bhana ๐Dadeq trick gani unatumia mkuu๐ share na sisi nina hasira na wewe mkuu๐ค๐
Kismati kimenikubaliKabisa haiwezekani awe na bahati hivo
Usiseme ke sema comrade wako ๐Watu wa aina hii huwa sina msaada nao, labda awe ke๐๐คฃ
Hapo sikutumia trick yoyote kaka ๐Dadeq trick gani unatumia mkuu๐ share na sisi nina hasira na wewe mkuu๐ค๐
Kuna huyu wakumuita Selikavu hata wampe coins debe zima ataambulia magoroka tu ๐Nina mjomba KONAMI.๐ Angalia hapo hata sikuwa na coins za kutosheleza, wamenipa zile zao 100 kuweka tu shwaa nashangaa mataa mengi ๐๐๐
Hana bahati kama mimi tu lakini hakomi, unapoteza coins 600 na hushituki ๐Watani tuwaache