Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,923
- 12,353
Kwa hali hiyo siwezi kukufunga mkuu ππππJobles nilale saa nne nawai wapi kaka π
Bhangi mbaya sanaπππAisee hiki chuma Cha who rules the world ni zaidi ya π₯ π₯ π₯.
Hujaingia nishaenda tena friend match asubuhi hii ππKwa hali hiyo siwezi kukufunga mkuu π
Karibu mkuuππWatu mnaupiga mwingi
Kaka una vuta bangi siku hizi ? ππBhangi mbaya sanaπππ
Nimeingia nimekuta umereact kwenye post 1 hivi ya kadi 2 za Batistuta πHujaingia nishaenda tena friend match asubuhi hii ππ
Hapana wewe unaeshinda na Maghayo gang nina wasiwasi unavutaππKaka una vuta bangi siku hizi ? ππ
BomboclaatHapana wewe unaeshinda na Maghayo gang nina wasiwasi unavutaππ
Jamaa aliandika ujinga pale ikabid nicheke tuuπNimeingia nimekuta umereact kwenye post 1 hivi ya kadi 2 za Batistuta π
Sina booster token tu.. yule wangu sijui ana booster ya defending ππ mana nilikuwa na zile za random kama 7 zote nikaweka sikuopata hiyo striker's instinct wala yoyote nzuri kwa CF
Mi nimekuona pale unaelekeza watu kucheza na AI πJamaa aliandika ujinga pale ikabid nicheke tuuπ
Kwenye Ai pale kuna event ukicheza unapata zile selection token za booster 100Sina booster token tu.. yule wangu sijui ana booster ya defending ππ mana nilikuwa na zile za random kama 7 zote nikaweka sikuopata hiyo striker's instinct wala yoyote nzuri kwa CF
Kwa hiyo nyie mnaona raha kuniona tuu kunitafuta aah ngoja nitaleft sasaπ€£π€£π€£Mi nimekuona pale unaelekeza watu kucheza na AI π
Nimeona kawa master πMi nimekuona pale unaelekeza watu kucheza na AI π
Pumbafuuuuuuπ€£π€£π€£Nimeona kawa master π
Kuwa mpole πPumbafuuuuuuπ€£π€£π€£
Naleft πππKuwa mpole π