Selection yako tunajuaHili jambo bado linajadiliwa na uongozi wa club chini ya rais wake Razorblade pamoja na benchi la ufundi likiongozwa na head coach Gesperin 😂
Hata wala lengo langu ni Anchorman mzee... Sawaa kocha wa boster mbili muhimu ila na Anchorman nilikuwa nahitaji plus zile foward zilizopo paleWewe matamanio yako ni kocha wa booster 2 tu hata wasingekuwepo hao uliowataja 😂
Tafuta coins kwaajili ya kuimarisha kikosi kwanza achana na makocha 😂
Angefika 100 ingekuwa unyama sana.Hilo lilikuwa wazi kabisa mbona😃😃
Hiki chanzo chako cha tetesi za usajili ni batili 1000% 😂Selection yako tunajua
Fabrioz Romanoselikavu🤣
Utapoteza tu hafiki 100 huyo.Hata wala lengo langu ni Anchorman mzee... Sawaa kocha wa boster mbili muhimu ila na Anchorman nilikuwa nahitaji plus zile foward zilizopo pale
Hapana hafiki mia huyo... Ngojea wa boster labdaAngefika 100 ingekuwa unyama sana.
KONAMI hawashindwi kunipa Nakata wa pili
Nipo hapa kama hutoenda na Owen basi NakataHiki chanzo chako cha tetesi za usajili ni batili 1000% 😂
Shida yangu sio afike mia shida yangu ni kiumbe kinachoitwa AnchormanUtapoteza tu hafiki 100 huyo.
Huyo akareset to box lianze upya🤣🤣🤣
Ila muhimu nina defensive full back kwa sasa.Hapana hafiki mia huyo... Ngojea wa boster labda
Hapa nawaza nitakuwa napita wapi maana kuna tony Adams pale plus kounde kazi ninayo 😃😃😃Ila muhimu nina defensive full back kwa sasa.
Umewahi sana kufanya usajili, hata mie natamani nifanye usajili ila bado najipa tumaini huenda nikapata kwenye free spin 😂KONAMI hawashindwi kunipa Nakata wa pili
Sasa unawataja wote hao halafu baadae useme uliotea 😂Nipo hapa kama hutoenda na Owen basi Nakata
Mwisho kabisa ni Batistuta 🤣🤣
Si ukamchukie Rodri tu.Shida yangu sio afike mia shida yangu ni kiumbe kinachoitwa Anchorman
Me pale naomba wanipe Nakata ama odo kwa sasa😃😃😃Umewahi sana kufanya usajili, hata mie natamani nifanye usajili ila bado najipa tumaini huenda nikapata kwenye free spin 😂
Tony ubovu wake ni speed tu.Hapa nawaza nitakuwa napita wapi maana kuna tony Adams pale plus kounde kazi ninayo 😃😃😃
Hiyo ni shortlist yako ila owen ndo ana chance kubwa😃😃Sasa unawataja wote hao halafu baadae useme uliotea 😂
Ninaye speed inasoma 59😃😃😃 simtakiSi ukamchukie Rodri tu.