Owen kakunyanyasa mno๐๐View attachment 3339403
Duuh๐ค๐ฎ
Bahati haikuwa yako na leo... Game ya pili ulikuwa unashinda ujue Miamba umegongesha sana....Daa nimekosa mwangu leo hata sijui ninecheza nini mechi ya kwanza.
Wacha tuendelee kuenjoyNimeona mkuu.
Ila game bhana๐
Sawa master ๐Nipo na wewe mpaka ufe mia siku moja๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Usiwe na wasiwasi inachemka taratibu ๐๐๐๐ Mpaka ulud form...
Ila ushaniambia dawa yangu unayo so sitoshinda tena๐๐
Tutaitest tu mkuu, muda umekuwa mdogo sasahivi.Twende tukaitest
Sina umaster kaka si unaona nafungwa mpk mtu anajiuliza iv ushawai shinda kwel ๐Sawa master ๐
Usisahau sukari dawa chungu situmiiUsiwe na wasiwasi inachemka taratibu ๐
Sawaa mkuuTutaitest tu mkuu, muda umekuwa mdogo sasahivi.
Dawa haitiwi sukari.Usisahau sukari dawa chungu situmii
Una uhakika kaka๐๐Dawa haitiwi sukari.
Nafungua game hapa njoo unifunge master.Una uhakika kaka๐๐
Ukija tukaguse leo
Ushaniambia nisahau kukufunga i keep that in mind bro๐๐Nafungua game hapa njoo unifunge master.
Ili unikamie, bado niko train ๐Ushaniambia nisahau kukufunga i keep that in mind bro๐๐
Shida nnIli unikamie, bado niko train ๐
Umefunga room mbona, network naona inalag.Shida nn
Nimeona umeconceide nikajua kuna shida...Umefunga room mbona, network naona inalag.
Kwako unacheza vizuri?Razorblade mbona umeforfeit??