Ningempata Rumminnegga ungenikimbia mazima wewe๐๐Nitazitupa kwa faida wewe umezitupa kwa hasara ๐
Umetuwakilisha vyema JF eFootball Gamers ๐Hilo ndo kubwa yeye ni nano asifunngwe๐๐๐โ
Kukukimbia hiyo sahau kabisa ๐Ningempata Rumminnegga ungenikimbia mazima wewe๐๐
List ya formation ni kubwa mkuu, sasahivi nimeweka 4-3-3(Diamond).Razorblade jaribu hii formation kakaView attachment 3339203
Ile kauli initia hasira mno ๐๐๐kwamba me nacheza madudu amaUmetuwakilisha vyema JF eFootball Gamers ๐
Nipo hapa nikimpata huyo we kimbia tuuKukukimbia hiyo sahau kabisa ๐
Huwa natumia 4.2.1.3 DMF 1, CMF 1 NA AMF 1..
Batistuta yupo wap hapa??View attachment 3339239
Mfumo ambao mara nyingi naukubali ๐ฅ๐
Inafanan kdg sema hiyo inakuwa na AMF wawiliView attachment 3339239
Mfumo ambao mara nyingi naukubali ๐ฅ๐
Kama muda nitaoingia utakuwa online sawa, kuna series hapa inabidi nitazame ziishe nianze zingine ๐Nipo hapa nikimpata huyo we kimbia tuu
Alafu twende leo๐๐
Utaniletea mifumo mingapi sasa itakayokusumbua maana huu mfumo wa pili sasa unaniletea ๐Jaribu hiyo kaka utanishukuru baadae๐๐me imenisumbua sana leo kukaba na jana nadhani Guilberto anatumia hii naye
Hii screenshot ya zamani nilikuwa bado sijampata.Batistuta yupo wap hapa??
Vijana mna pigana mabiti, siku niki washa mitambo nita gawa dozi maboya nyieUtaniletea mifumo mingapi sasa itakayokusumbua maana huu mfumo wa pili sasa unaniletea ๐
Mfumo wowote ule inategemea na mtumiaji pamoja na aina ya wachezaji utakaowatumia kwemye huo mfumo.
๐Vijana mna pigana mabiti, siku niki washa mitambo nita gawa dozi maboya nyie
Hiyo dozi itakuwa mseto ๐Vijana mna pigana mabiti, siku niki washa mitambo nita gawa dozi maboya nyie
Mzee Iko kikosi๐๐nikipata asee Razorblade ata acheze tiki taka ni kufa tuu๐คฃ๐คฃView attachment 3339239
Mfumo ambao mara nyingi naukubali ๐ฅ๐
Series naangalia snowfalls kwa siku episode moja na yenyewe mpaka simh ikate moto basi๐๐Kama muda nitaoingia utakuwa online sawa, kuna series hapa inabidi nitazame ziishe nianze zingine ๐