eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Nikianza kupiga nje ntakuua 😂
GrE0fGgX0AAzs8a.jpeg

Umuue nani...

Afu umejisahaulisha game za mwanzo tulizocheza na kikosi chako😃😃

Umeona dawa ya Amrabat 🤣🤣🤣
 
Hii mechi ya kwanza bana 😂😂🔥 dakika ya 11 nishakula chuma 3 sijui nilikuwa nazubaa wapi 😂💔
View attachment 3336576View attachment 3336577View attachment 3336578
Hii mechi ya mwisho nikagongwa chuma 2 bila ile kuchomoa zote jamaa akawasha full def bars 😂🔥 nikasema duh hapa ni kutumia nafasi tu mana nikipoteza ataniadhibu ipasavo

Ndo kama hivo nimeshinda 1 tu 😂💔
Kazi nzuri itabidi tufanye mpango wa Night Cup sasa 😂
 
Hii mechi ya kwanza bana 😂😂🔥 dakika ya 11 nishakula chuma 3 sijui nilikuwa nazubaa wapi 😂💔
View attachment 3336576View attachment 3336577View attachment 3336578
Hii mechi ya mwisho nikagongwa chuma 2 bila ile kuchomoa zote jamaa akawasha full def bars 😂🔥 nikasema duh hapa ni kutumia nafasi tu mana nikipoteza ataniadhibu ipasavo

Ndo kama hivo nimeshinda 1 tu 😂💔
Sema humu ndani siku hizi ukikaa hovyo mkono huo
Gq5G1ucWIAE2szj.jpeg
 
Back
Top Bottom