Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,940
- 12,376
Naona inalag sana sifurahii mechi nimeforteit.Razorblade net leo naona changamoto...
Sema uchezaji wa torres unanifaa sanaWe chukua notes vizuri π
Kabisa mkuu kesho tutaenda kakaNaona inalag sana sifurahii mechi nimeforteit.
Torres anajiweza mbona ni vile tu watu wanampuuza.Sema uchezaji wa torres unanifaa sana
Nimeshindwa hata kuelewa kama nimecheza vizuri au bado kazini kuna kazi πKabisa mkuu kesho tutaenda kaka
Me nitaona maana mbadala wa Torres huwa namweka Kane lakin hanipi kile Torres ananipaTorres anajiweza mbona ni vile tu watu wanampuuza.
Hakuna kitu tumefanya leoπππNimeshindwa hata kuelewa kama nimecheza vizuri au bado kazini kuna kazi π
Unatumia CF wangapi?Me nitaona maana mbadala wa Torres huwa namweka Kane lakin hanipi kile Torres ananipa
Nilitaka kutoka room kabla ya kipindi cha kwanza cha mechi ya kwanza hakijaisha πHakuna kitu tumefanya leoπππ
Wawili mmoj inabid awe mzito mwingine mwepesi...ππUnatumia CF wangapi?
Nilikuwa nacheza huku nacheka tuu nasema hapa acha tupoteze muda tuuNilitaka kutoka room kabla ya kipindi cha kwanza cha mechi ya kwanza hakijaisha π
Mpira upo golini lakini kipa anashindwa kudaka game inalag mara unasikia sauti ya net πNilikuwa nacheza huku nacheka tuu nasema hapa acha tupoteze muda tuu
π€£π€£π€£Unakuta watu wapo katiMpira upo golini lakini kipa anashindwa kudaka game inalag mara unasikia sauti ya net π
Nikajikuta napiga paasi mwenyewe kumbe network mkaa ππ€£π€£π€£Unakuta watu wapo kati
Hana speed kakaππSelikavu ulikuwa unazitamani sana GP zangu na hatimae nimezitumia, nimeamua kumtafutia Amrabat sub yake.
π
View attachment 3333135
B2B akipumzishwa anaingia Anchor manπ₯
Nimeenda kucheza PUBG net ipo vizur tuuNikajikuta napiga paasi mwenyewe kumbe network mkaa π
Ni sub tu huyo πHana speed kakaππ
Basi huenda ilikuwa ni wao wenyewe tu.Nimeenda kucheza PUBG net ipo vizur tuu