eFootball Special Thread

Nimekutumia invite nikaona huingii room nikakuangalia tena nakukuta uko kwenye mechi.

NB: Nahitaji mechi nyingi na wewe za kirafiki ili nirejee (siyo za ushindani 😂), nipo vibaya sana.
Kama upo twende kaka
 
Sema jana nimependa sana unavyocheza mkuu sasahivi pira aviator halipo tena 😂, unatuliza mali chini tupishane.

Umeimprove sana mkuu.
Shurakn kaka japo nilikataa kaul ya kuwa nimeinprove naona bado kuna vitu sina
 
Najua acha nitambe kwa sasa😃😃nikifungwa nakimbia jukwaa kama mwezi hivi 😃😃😃
Uzuri Edo kissy amenithibitishia kile nilichokuwa nasema bado sijaweza chezesha vizuri hizo RMF na LMF mwanzo nilikuwa nabebwa sana na CAM ambaye alikuwa anafanya kazi kuliko hao (RMF na LMF).
 
Uzuri Edo kissy amenithibitishia kile nilichokuwa nasema bado sijaweza chezesha vizuri hizo RMF na LMF mwanzo nilikuwa nabebwa sana na CAM ambaye alikuwa anafanya kazi kuliko hao (RMF na LMF).
Kuna mtu nimecheza nae alikuwa na CF,CF na SS kwa jinsi nilivyokuww namsumbua alibadili akaja kwenye 4222
 
Huyu kama alikuwa anataka kuutawala mchezo bora angetumia 4-3-3 ya 2CF's na 1SS halafu hapo kati angekuwa na 2CMF's na 1DMF.
Nimetoka kucheza na mtu anatumia LBC mbele kaweka hvyo kati kaweka AMF mmoja CMF na DMF ni balaa nimekula vipigo hapa sio pow😃😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…