eFootball Special Thread

Hii mechi ipigwe maana kila upande unatamba😃
Hata nikicheza nae mechi 10 bado atanifunga tu 😂, haya madude yanahitaji ucheze mara kwa mara ili kuimprove.

Tangu nilivyopanda dvn 2 ni kama vile mood pia imeshuka, hata nikiwa nacheza na AI nahisi mood ipo chini.

Muda wa kucheza friend match pia umekuwa mdogo ndiyomaana mara nyingi nacheza AI maana hata nikitoka katikati ya mechi nikija kurudi naresume tu.

Kipindi cha mpito tu hichi.
 
Na nitakunyanyasa sana mpka uludishe form utakuwa umeoga nyingi sana

NB nilisema sipost ila hii nimeweka kukutia hasira😃😃
 
Na nitakunyanyasa sana mpka uludishe form utakuwa umeoga nyingi sanaView attachment 3331792

NB nilisema sipost ila hii nimeweka kukutia hasira😃😃
Sheria msumeno mkuu, mie nilitaka upost ila wewe tu uligoma 😂

Basi utanifunga sana 😂, hili game limekula muda wa kutazama movies/series kiasi kwamba latest nyingi zinanipita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…