eFootball Special Thread

Nilitaka usipate goli mkuu, kabla ya mechi nilitaka nikwambie ushindi wako pekee leo ni kupata goli 😂.

Nilikuwekea mbappe mbavuni kukuonyesha kuwa huo mfumo wako utakuwa ukifungwa sana kutokea pembeni.
Nimekumbuka after kucheza nikiwa nimeamia kwenye 4222 ulinifunga game moja tatu moja ya pili tukadraw sijui 😃
 
Kwahiyo hukumbuki siku niliyokuambia twende uwanjani nikakuonyeshe udhaifu wa mfumo wako 😂

Mkuu huo mfumo si umefanya marekebisho kidogo tu ni uleule 4-2-2-2
Last two meetings hujanifunga mkuu na nimekuoutplay game nyingi
 
Kuna moja nimeona sijajua ni DLS au efootball,wameifanyia modding ina mpaka timu za bongo
Binafsi sijajua mkuu...

Ungetupia picha zake ningejua ni game lipi


Vip hauna mzigo mpya wa VPN?? 😃😃😃
 
Amrabat me simuwazi atakutana na mtakatifu Pedri Gonzalez😃😃


Razorblade sijaimprove ila nimepata right AMF Pedri angalia ninvyocheza siku hizi ananipa kile ninachotaka😃😃
Huyo pedri hachezi mwenyewe mkuu ni wewe ndo unaemchezesha ila kama hutaki kukubali kuwa umeimprove basi sina usemi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…