eFootball Special Thread

Kaka huyu si ndio mimi mbona nimepigika kipigo kitakatifu hivyo😅🙌
Owaa kumbe ni Id yako🤣🤣🤣🤣me hata sijui nilishasahau nikajua ni moja ya watu wangu wa Online😃😃😃

Kaka naomba tuludi tena😂😂😂game ya kwanza ulichonifanya sijapenda 🤣🤣🤣
 
Mill broh muda ule simu iliishiwa moto kaka... Ndo maana nikasepa😃

Bora nimekupata twende tena ukipata time... Tupate game nyingi kadri ya uwezo wetu😃😃


Game ya kwanza imeniuma umeniua kikatili mno😂😂😂
 
Huyu jamaa huwa namkwepa hata nikimkuta online 😂.
 
Idumu haram football idumu😃
Niwe mkweli tu hii harram football hainifanyi niburudike ndiyomaana naitumia kwenye dvn tu kwasababu ndiyo mpira unaotumika kule kwa asilimia kubwa.

Ukizoea harram football ni ngumu kufurahia game labda iwe unataka tu matokeo na siyo kupata matokeo kwa kucheza mpira mzuri.
 
Harama unatumia pale mbinu zote zimegoma au mpinzani wako unaona kabisa kakuzidi uwezo kila pass ana intercept. Au imebaki mechi moja upande hapo ndio inatumika.l si muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…