Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,988
- 5,151
😂😂😂Kumbe bado nina nafasi ya kuwa wa kwanza🤣🤣🤣
😂😂😂Kumbe bado nina nafasi ya kuwa wa kwanza🤣🤣🤣
Kwenye niaje apoKwema wakuu
Eeh ukishinda mechi zako zote unakua😃Kumbe bado nina nafasi ya kuwa wa kwanza🤣🤣🤣
TwendeJmn ambae ananidai aje leo nipo nimepata kamda tumalizeee
Upo twendeJmn ambae ananidai aje leo nipo nimepata kamda tumalizeee
Turudie ile mechi ya dakika 6 😁Nimemalizana na Gilberto mechi ambayo nilijua ni ngumu inabid niwe timamu😃😃 hizi zilizobaki naingia na kujitetea tuu😃😃
BaridiNipo free night
Nimetumia nguvu zangu zote sina haja🤣🤣🤣Turudie ile mechi ya dakika 6 😁
Sasa Warld na hizo lose hapo si amekaa bahqti mbaya tu 😂😂🤌Warld inabid tupumzike tuwasubili watukute, 🤣View attachment 3603496
Kumbe mi mwamba kwenye condition random, excellent ukanibonda vile 😂💔Nimetumia nguvu zangu zote sina haja🤣🤣🤣
Bora ungeaacha random😃😃😃Kumbe mi mwamba kwenye condition random, excellent ukanibonda vile 😂💔
Tumepishana nilitoka.. tufanye io io night tuKama upp twende now mkuu
Mi sikuwezi, zako 6 nnazoNjoo na wewe nkupe point 🤠😂🤠😂
Dah 😂Bora ungeaacha random😃😃😃
Umenibondea kij. Angu 😂😂