Effects za Ugali sana.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Effects za Ugali sana....

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boflo, Sep 1, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ugali.jpg imekataa kutoka, niko chooni 3 hrs(effects za kula ugali).jpg

  Imekataa kutoka...niko 3 hrs
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,310
  Likes Received: 595
  Trophy Points: 280
  Boflo huo ugali au meshed potatoes?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Duh, ina raha yake
  Nunua na magazeti
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kitu cha dona hiko.
   
 5. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Aaaah....kitu cha mtama hicho nini? Maana kitu ya mtama ni balaa.
   
 6. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,606
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
 7. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nili lumangia na chumvi...si unajua mkuu usawa wa JK huu!!!
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145  Next time ulumangie na pilipili....
   
 9. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,524
  Likes Received: 1,231
  Trophy Points: 280
  Dr ndodi amekataza kunywa maji wakati wa kula
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Baada ya hapo unaweza ukajikuta umekuwa CAMEROONED bila maelezo!
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Wewe akili zako zinakutosha mwenyewe!
  Shukuru mungu uko masaki, ungekuwa huku uswazi, choo passport size ungechuchumaa 3 hrs? Lione kwanza!
   
 12. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3,914
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  Ugali wa Yanga Watanzania waliokuwepo Miaka ya 1983-4 waliula Sana huu Mahindi ya njano Msaada kutoka Marekani... Mahindi ya Njano yalikuwa ni Special kwa Mifugo ya Wanyama kama Ng'ombe Nguluwe n.k Mwaka huo bila hii kitu Watanzania wengi wasingekuwepo Yaani?
   
 13. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,610
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Duduwasha unakumbuka enzi zile za RTC na National Milling? kipindi hicho tuko shule ukiulizwa ukimaliza unataka kazi gani basi ni RTC!! Jamaa walikuwa wako juu! kwa totoz sasa wee acha tu!!
   
 14. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe Ndibalema ww dogo sana, Unga wa yanga unaita dona? haaah haaaaaaaaaaaaaaaaaah!
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,608
  Likes Received: 10,109
  Trophy Points: 280
  Boflo, naona umeamua kunitamanisha kwenda chooni. Mwenzio choo kiko nje, halafu wanakaba kichizi.
  Si unajua kwetu ni vibaka ila tumezidiana Technics!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...