Tatizo kubwa ni usimamizi duni wa vyombo vyetu vya fedha. Huku kuporomoka kwa Tsh pia kunachangiwa na matatizo ya watu kuswitch kwenye currency nyingine na kusababisha demand ya dola kuwa kubwa. Na ikiwa kubwa inamaana Price yake ndio hiyo inayokuwa defined na exchange rates inapanda wakati huo consumer tastes kwenye Tshs inapungua then shs inadepreciate. Kwahiyo kwa muono wangu mie tatizo ni usimamizi duni. Uwepo wa bureau si tatizo kwani zipo biashara zinazohusisha mataifa na haziepukiki, ila zile za ndani kutumia dollar ni kichefuchefu. Hapo ndio utayari wa kisiasa(political will) inahitajika.