xivii09
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 269
- 156
Nchi nzima si balaa hili.
Hapa serikali inatakiwa iwasikilize wafanyabiashara lakini hizo mashine zitumike ili ukwepaji kodi usiwepo..
kodi lazima wabongo wengi wamezoea usanii tu.
Nchi nzima si balaa hili.
Hapa serikali inatakiwa iwasikilize wafanyabiashara lakini hizo mashine zitumike ili ukwepaji kodi usiwepo..
Nimesikia kua mgomo upo Tanzania nzima!
Tatizo si mashine, tatizo ni bei ya hizo mashine na bora wa hizo mashine, mimi nimenunuwa moja moaka leo wameshindwa kuiunga kwenye kompyuta yangu, wananambia nibadili software kutoka windows 8 kurudi nyuma kwenye windows 2007.
Sasa huo kama si ujinga ni nini?
Na hakuna pakulalamika nimeshakwenda mpaka TRA wananambia mfate wakala wakala anataka nibadili software au ninunuwe kompyuta yenye sogtare ya kizamani na ibaki kwa kazi hiyo hiyo tu, wakati mimi nnatumia excel na quickbooks mpya kwa rekodi zangu za mahesabu.
Hizi EFD ni mzigo tu, ikiwa mimi ambae nna uzoefu wa hii teknolojia ya kompyuta zinanipa taabu seuse mfanya biashara wa Kariakoo ambae hajawahi kutuia hata komyuta toka kuzaliwa inakuwaje?
Teknolojia za elektroniki zinatakiwa ziondoe matatizo na zirahisishe kazi na zisidishe matatizo.
Waje na kitu mbadala.
Hawa watu hawataki kulipa kodi halafu wanajifanya kugoma wapolwe leseni basi hakuna kuwabembeleza.
Mgomo tena Leo.
wafanyabiashara wa kariakoo.wamefunga maduka yao kwa muda usiojulikana kutokana mgomo wa mashine.
Dada FaizaFoxy nimekupenda Bureee! ukitulia tu ukauweka uchama na unazi pembeni,unaandika kisomi sana, japo najua sometimes huwa unacoment upuuzi just for funy na kuchemsha akili za watu. So suluhisho ni nini mama juu hili jambo ,unafikiri nini TRA wafanye, maana kulipa kuodi ni lazima na ni muhimu kwa maendeleo ya nchiTatizo si mashine, tatizo ni bei ya hizo mashine na bora wa hizo mashine, mimi nimenunuwa moja moaka leo wameshindwa kuiunga kwenye kompyuta yangu, wananambia nibadili software kutoka windows 8 kurudi nyuma kwenye windows 2007.
Sasa huo kama si ujinga ni nini?
Na hakuna pakulalamika nimeshakwenda mpaka TRA wananambia mfate wakala wakala anataka nibadili software au ninunuwe kompyuta yenye sogtare ya kizamani na ibaki kwa kazi hiyo hiyo tu, wakati mimi nnatumia excel na quickbooks mpya kwa rekodi zangu za mahesabu.
Hizi EFD ni mzigo tu, ikiwa mimi ambae nna uzoefu wa hii teknolojia ya kompyuta zinanipa taabu seuse mfanya biashara wa Kariakoo ambae hajawahi kutuia hata komyuta toka kuzaliwa inakuwaje?
Teknolojia za elektroniki zinatakiwa ziondoe matatizo na zirahisishe kazi na zisidishe matatizo.
Waje na kitu mbadala.
Hawa watu hawataki kulipa kodi halafu wanajifanya kugoma wapolwe leseni basi hakuna kuwabembeleza.
Wewe upo mjini unapata shida hiyo walio wilayani inakuwaje?
FaizaFoxy said:Tatizo si mashine, tatizo ni bei ya hizo mashine na bora wa hizo mashine, mimi nimenunuwa moja moaka leo wameshindwa kuiunga kwenye kompyuta yangu, wananambia nibadili software kutoka windows 8 kurudi nyuma kwenye windows 2007.
Sasa huo kama si ujinga ni nini?
Na hakuna pakulalamika nimeshakwenda mpaka TRA wananambia mfate wakala wakala anataka nibadili software au ninunuwe kompyuta yenye sogtare ya kizamani na ibaki kwa kazi hiyo hiyo tu, wakati mimi nnatumia excel na quickbooks mpya kwa rekodi zangu za mahesabu.
Hizi EFD ni mzigo tu, ikiwa mimi ambae nna uzoefu wa hii teknolojia ya kompyuta zinanipa taabu seuse mfanya biashara wa Kariakoo ambae hajawahi kutuia hata komyuta toka kuzaliwa inakuwaje?
Teknolojia za elektroniki zinatakiwa ziondoe matatizo na zirahisishe kazi na zisidishe matatizo.
Waje na kitu mbadala.
Hebu wafanyabiashara msaidie wananchi kujibu maswali yafuatayo:
Shida ya EFD ni:
1. Bei yake kuwa juu..?
2. Inakata kodi nyingi kuliko inavyostahili..?
3. Hazifanyi kazi kiasi cha kuleta usumbufu wa kufanya biashara..?
4. Kodi haziendi TRA bali kwenye mifuko ya watu..?
5. .......
Mkisaidia wananchi kutoa majibu ya kwanini migomo, mtawatoa watu matongotongo... Kama mlishawahi kutoa ufafanuzi, tungependa kuupata; labda ulitupita wengine..
Dada FaizaFoxy nimekupenda Bureee! ukitulia tu ukauweka uchama na unazi pembeni,unaandika kisomi sana, japo najua sometimes huwa unacoment upuuzi just for funy na kuchemsha akili za watu. So suluhisho ni nini mama juu hili jambo ,unafikiri nini TRA wafanye, maana kulipa kuodi ni lazima na ni muhimu kwa maendeleo ya nchi
Hawataki kulipa kodi? Wao si maajenti tu wa kukusanya kodi? Hapa serikali inabidi ikae kimya, wakipitisha siku tatu iwanyanganye leseni zao za biashara kuonyesha kuwa 'the system works..'
Tatizo si mashine, tatizo ni bei ya hizo mashine na ubora wa hizo mashine, mimi nimenunuwa moja mpaka leo wameshindwa kuiunga kwenye kompyuta yangu, wananambia nibadili software kutoka windows 8 kurudi nyuma kwenye windows 2007.
Sasa huo kama si ujinga ni nini?
Na hakuna pakulalamika nimeshakwenda mpaka TRA wananambia mfate wakala, wakala anataka nibadili software au ninunuwe kompyuta yenye software ya kizamani na ibaki kwa kazi hiyo hiyo tu, wakati mimi nnatumia excel na quick-books mpya kwa rekodi zangu za mahesabu.
Hizi EFD ni mzigo tu, ikiwa mimi ambae nna uzoefu wa hii teknolojia ya kompyuta zinanipa taabu seuse mfanya biashara wa Kariakoo ambae hajawahi kutumia hata kompyuta toka kuzaliwa inakuwaje?
Teknolojia za elektroniki zinatakiwa ziondoe matatizo na zirahisishe kazi na zisidishe matatizo.
Waje na kitu mbadala.
Hakuna mfanyabiashara kariakoo anaye kataa kulipa kodi ila ukitoa mzigo china una ulipia kodi bandari yani pamoja na T.R.A mzigo huwo huwo ukifika dukani ukiuza uulipie tena! Sasa hayo si maajabu kweli tunajua bila kodi nchi haiendi ila kodi bandari kodi dukani mzigo huwo huwo kodi kwenye pango lanyumba sasa wengine mitaji yetu tumekopa baba zetu si mafsadi wakuliwa wajembe la mkono, nch itaingia gzani si kwa umeme2 hata nahli pia