Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,949
- 168,413
yep,
akafute kwanza maziwa ya mamaye mdomoni, inaonekana bado kinda ........
yaah lakini kwa mambo haya mi nshaghairi potelea karibu,ile saba mara sabini naifuta haiwezekani.Babu kumbuka tulifanya sala usijali
nimekupenda sana kwa maoni haya.
muulize kuwa yeye na BF/dume lake wakifanana nani ataumbuka kubeba kitambaa???????????
ajitoe JF, inaonekana haiwezi, akakue kwanza huyo dogo
Babu kumbuka tulifanya sala usijali
Najua mm ni mtenda dhambi,tena umesema tuwasamehe na kuwaombea,kln Mungu kuna mtu ananikwaza sana Hapa Jf,kwann kila mara anakuwa tofauti na mawazo ya wenzie?Mungu najua sisi sote ni mfano wako tena umesema tutakuwa vichwa na wala si mkia,mbn yy anakuwa mkia?kwakweli sitaki hata kuchangia mawazo yake tena na wala sitaki hata kugombana nae naomba uniepushe nae maana ulisema tuikimbie dhambi hata kwa miguu yetu,nitajitahidi kumkwepa maana nisipofanya hivyo atanikwaza sana.Ameen
Je na ww anakukwaza?unafanyaje?muombee tu
tumekwishamaliza tofauti zetu na tuesameheana. sote sasa tuna amani.
"heri wapatanishi, maana hao wataitwa watoto wa Mungu (Matayo 5: 6)" Mungu awabariki nyote
unajua nini, watu wengine wanajua watakuwa ma'star kwa kukwaza wengine...hawajui kwamba hawawezi kwenda mbali na staili yao hiyo ya kunga na gundi...mimi leoleo nimekuwa discriminated na mtu huyohuyo tajwa!...lakini mwisho wake ni mbaya...!
Unajua nini, watu wengine wanajua watakuwa ma'star kwa kukwaza wengine...hawajui kwamba hawawezi kwenda mbali na staili yao hiyo YA KUNGA NA GUNDI...Mimi leoleo nimekuwa discriminated na mtu huyohuyo tajwa!...lakini mwisho wake ni mbaya...!