Lowassa, Ngereja, Muhongo wote wana madoa ya ufisadi. Walijiuzuru nafasi zao za uwaziri. Kwa nini basi umsakame Lowassa tu.
Mkuu,Wapambe wa Lowasa wamekwisha jihakikishia ushindi na hivi sasa wanaandaa sherehe hapa Dodoma!! Hivyo matokeo yo yote kinyume na matarajio yao yatawachefua na hiyo kuleta sintofahamu katika mkutano mkuu!!!
Kumbuka kuwa wapambe wa Lowasa ni pamoja na vigogo wa chama!!! Baadhi ya mawaziri, wabunge, wenyeviti wa mikoa na wilaya nk!!!
Lowassa Lowasa kila mahali wacheni akatwe tu
bora apumzike au akubali tu hata uMakamu
Mkuu,kweli kabisa na ninaamini kuwa JK na Lowasa wata compromise kama kweli kuna tofauti kati yao, japo binafsi naona wanayofanya ni mbinu yao ili waonekane hawapatani mbele ya jamii lakini akili ni mkichwa.
Kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii waangalie wahasimu Karume Jr na Komando, unafahamu Karume alimfanya nini Komando? Fuatilia, lakini mambo yalienda kimya kimya kifo cha kondoo na wala siyo ya mbuzi kama wa bara
ACT ndio anakifadhili kwa upande mmojaumakamu wa kubeba mikasi kukata utepe mmmmh! si bora aende act maana alikwisha karibishwa na don zito