Katibu mtendaji
JF-Expert Member
- Feb 14, 2015
- 700
- 244
Hata afanye nini atakatwa tu makatio yapo tena makali sana.Huyo jamaa huwa ni msanii wa maigizo, inawezekana kabisa anafanya maigizo ambayo ndo fani yake
Hata afanye nini atakatwa tu makatio yapo tena makali sana.Huyo jamaa huwa ni msanii wa maigizo, inawezekana kabisa anafanya maigizo ambayo ndo fani yake
Nani ampitishe lowasa???!!!!! kauli ya nape ya jana inatosha
Hesabu zingine hizi hapa,
Lowassa naurais
Ndani ya CCMkuna udicteta ndani ya democrasi ya kwao,kuna chombo kinaitwa kamati kuu(CC)chombo hiki kina maamuzi mkubwa ambayo hayaruhusiwi kukatiwa rufaamahakamani,Lowassa alilaaniwa na Nyerere kila mtu anajua kwamba hafai kuwa Raiswa Tanzania kwa ajili alijilimpikizia mali,Mangula aliitwa kwenye chama tokakijijini kwake Mtwango alikokuwa analima viazi akawa makamo wa mwenyekiti nakuwa mjumbe wa CC kwa mjibu wa wadhifa wake, aliitwa aingie kwenye chombo hichokwa kazi moja tu, KULIPIGA LULA JINA LA LOWASSA PINDI WAKIANZA KUWAJADILIWAGOMBEA WATAOCHUKUA FORM KWA TIKITI YA CCM, hiyo ni moja.
Pili raismwenyewe majuzi alisema atapenda amwachie urais kijana,siyo mzee kama yeye
Kwa mantikihiyo Lowassa hawezi kuwa rais wa inchi hii
Mwisho Lowassaanautaka urais kwa udi na uvumba hivi anataka afanye nao nini?
umeshanunua Malimao???
Malimao!!!!??? utaijua ccm na wenyenayo wapo
pamoja na hayo yeye mwenyewe ametusadikisha kwamba ni bingwa wa maamuzi magumu sasa hiyo ni challenge kwake kama ni jasiri na anaamini anakubalika azame hukoACT ndio anakifadhili kwa upande mmoja
ila anajua akienda huko ndio atakufa kisisasa kwani badala ya yeye kuwaonesha kina Balali na Mgimwa walipo
yeye ndipo wayakapo mkaanga mpaka hiyo Alphatel, Symbion na ulaji wake wote utakapozimwa km mshumaa
mwache abaki Chama alichopo aambulie hata kukatakata tepe
tusubiri bado masaa 24 tu
Hivi kuna kipindi kigwangala aliwahi kukamatwa yeye na mkewe kwa tuhuma za kugawa maandazi kwenye uchaguzi nzega au?sijui hio moral authority anaitoa wapi
Nimeweka kura za UKAWA, iwapo jina lake litakatwa na CCM na iwapo ataamua kukimbilia katika mwavuli wa UKAWA
Ungejua kilichocjiri kwenye baraza la wazee ungesikitika sana,kule mwenyekiti alikuwa mzee Mwinyi ila mzee Mkapa alikitawala kikao kiasi kwamba akawa kama ndiye mwenyekiti,kwa ujumla Lowassa ameishakatwa,na wazee wamewapendekeza Sumaye na Magufuli,kwa mawazo yao ni kwamba litengenezwe zengwe ili Jaji Agustino awe rais,Sumaye makamu na Magufuli waziri mkuu,ndiyo mpango wa Mkapa huo.
Huyu kigwangala ni team membe na jimbo amwachie tu bashe cz alipewa kwa fazila za kuwa wamaKupitia kipindi cha Kituo cha Azamtv ndani ya kipindi cha #Funguka .
Dk Hamisi Kigwangallah alikuwa Akihojiwa na Tido Mhando.
Ndani ya mahojiano hayo, Tido alihitaji kujua kutoka kwa Dk Kigwangallah ni kwanini anagombea nafasi hiyo akiwa kijana asiye na uzoefu wa kutosha serikali wa miaka 5 tu Bungeni..?
Dk Hamisi Kigwangallah alieleza kwamba kuna mifano mingi ambayo inaakisi uamuzi wake wa kuwania urais akiwa na uzoefu mdogo huo.
Alieleza kwamba hata Mwl J.K Nyerere alianza kutumikia nafasi hiyo akiwa hata bado haja timiza miaka 40.
Akasema pia hata Uingereza imekuwa na taratibu ya kuwa na viongozi vijana yeye.
Akaongeza kwa kusema kwamba haoni tija ya kusita kuwania nafasi hiyo kwa kuwa haoni mgombea mwenye sifa....... akaeleza kwamba anashangazwa wagombea wenye [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Madoa]#Madoa [/URL] ya #ufisadi na walipata kujiuzulu kutoka katika nafasi zao lakini bado wanahitaji nyadhifa za juu zaidi.
Ndani ya Chama chetu, kuna watu wanaogopa kunyoosheana vidole pale ambapo kada anaenda kombo....!
Kuna watangaza nia ambao wanaMadoa ya ufisadi na bado wanatumia walichokivuna kujaribu kununua imani kwa watanzania wenye njaa.
Akasema " nina hakika kwamba chama hakita fanya kosa na kitetenda haki. Naamini kama hata kama chama hakitonipa ridhaa basi nitakiwa tayari kumuunga mkono atakaye chaguliwa, lakini asiwe yule ambaye mwenye [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Madoa]#Madoa [/URL] ya ufisadi na ubadhilifu wa mali za umma."