MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,997
- 34,835
Watu mnaongea kwa uhakika!Lowasa hata kama hatahama CCM lakini kitendo cha kumkata katika kamati kuu kitaikosesha ushindi CCM na upinzani kuchukua dola!!!
Watu mnaongea kwa uhakika!Lowasa hata kama hatahama CCM lakini kitendo cha kumkata katika kamati kuu kitaikosesha ushindi CCM na upinzani kuchukua dola!!!
Na sisi UKAWA hatumtaki.mkimkata mpelekeni akachunge n'gombe zake.
Unamaanisha dola ya wachaga!!!!Lowasa hata kama hatahama CCM lakini kitendo cha kumkata katika kamati kuu kitaikosesha ushindi CCM na upinzani kuchukua dola!!!
Lowasa hata kama hatahama CCM lakini kitendo cha kumkata katika kamati kuu kitaikosesha ushindi CCM na upinzani kuchukua dola!!!
Nami nilishasema sana hii kitu, ni kweli hathubutu kuhama ng'oooo!!
UKAWA mnapoteza muda maana hamuwezi kupata mgombea atakaye kubarika na wana UPAWA wote!
mkuu vipi nimeona uzi wa mtu wako kuchafuliwa ni kweli au majungu?
Mkuu,lala huna jipya
Mkuu,Na sisi UKAWA hatumtaki.mkimkata mpelekeni akachunge n'gombe zake.