Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Mkuu,Lowasa hata kama hatahama CCM lakini kitendo cha kumkata katika kamati kuu kitaikosesha ushindi CCM na upinzani kuchukua dola!!!
Una uhakika gani na angalizo lako?
Mkuu,Lowasa hata kama hatahama CCM lakini kitendo cha kumkata katika kamati kuu kitaikosesha ushindi CCM na upinzani kuchukua dola!!!
Mkuu,we jamaa unajua kuandika. nakubali.
kwanini unishangae kwa kutoifahamu ccm vizuri? what the hell is ccm?Ninawashangaa kidogo wale ambao hawaifahamu CCM vizuri!
watu wajinga kweli. Wagombea wako 41, na wanataka watano, sasa hao vijana nini kinawasukuma kuwa lazima awe tano bora? ina maana wengine hawahitajiki kuwa hapo zaidi ya yeye? Akili za viroba bhana. But poa tu, sisi t ipounapeta ngoja muumizane
Vijana mbalimbali mkoani kigoma,wameapa kuwapa UKAWA ushindi katika uchaguzi mkuu ujao iwapo CCM kwa makusudi itaamua kuondoa jina la lowasa bila sababu za msingi.
Vijana hao ambao wengi ni green guard wamesema wako tayari kuwapa ushindi UKAWA,na hata kurudisha kadi ya chama chao kama haki haitatendeka kwa lowasa.Wamesema kuwa hawalazimishi lowasa awe rais wa tano ila wanataka fair game kwa kila mgombea.Namnukuu kijana lugweso"hii ni tahadhali tunatoa kwa viongozi wetu maana tetesi kuwa jina la lowasa litaondolewa hatua za awali katika mchakato wa kumpata mgombea wetu,zimepea sana,hivyo sisi kama vijana tunaomba haki itendeke,lasivyo UKAWA wajiandae kuchukia nchi,mwisho wa nukuu"
Wamebainisha kuwa wapo wagombea wana hofu na EDO,hivyo wanajaribu kutengeneza mizengwe ili jina lake liondolewe kitu ambacho wanakipinga kwa nguvu zote.
CCM ujumbe ndio huo,sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU,kazi kwenu.
Mkuu,
Kwa CCM ya sasa, anything is possible!
Anaweza asikatwe na akateuliwa na kupelekwa mpaka kwenye Mkutano Mkuu na hata kufikia kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi.
Mkuu,
Una uhakika gani na angalizo lako?
Day dreamsLowasa hata kama hatahama CCM lakini kitendo cha kumkata katika kamati kuu kitaikosesha ushindi CCM na upinzani kuchukua dola!!!
We ni mbwa potelea mbali mkinipa ban,huwez kuleta upuuzi wa ki mbwa mbwa tukae tukuangalie kama binadamu
Ameshindwa hata kuwapa mwongozo wamasai jinsi ya kuendeleza utajiri wao wa ng'ombe na kuwaacha wanazurur mapori yote Tanzania nzima. Watoto wa kimasai hawaendi shule leo anatudanganya ataboresha elimu ipi anayoijua? kweli nyani haoni kunduleUkimtazama na kumsikiliza Edward Ngoyai Lowassa unaweza kunibishia. Ukimtazama na kumsikiliza tena Lowassa utaniamini. Ukimtazama na kumsikiliza Lowassa kwa mara ya tatu, hutatamani kumtazama na hata kumsikiliza mara nyingine. Ni msanii kwelikweli. Lowassa anajipambanua kama dawa ya umaskini wa Tanzania. Ameshindwa vibaya kuuondoa umaskini wa Monduli tu aliyoiongoza kwa miaka 25 kama Mbunge.
Individual power!! uliona wapi taifa la namna hiyo? Haya ni mawazo ya kimaskini anayowateka nayo. Get out of the box.Mwenye nguvu acha aitwe power.. Ata ukikataa utamuita kwa vitendo.. Lowassa atoa magari ya kusafirisha abiria kwa nusu bei Dar - Mwanza baada ya sh 50000.. Ukiwahi la Lowassa ni sh 25000.
Mwenye nguvu acha aitwe power.. Ata ukikataa utamuita kwa vitendo.. Lowassa atoa magari ya kusafirisha abiria kwa nusu bei Dar - Mwanza baada ya sh 50000.. Ukiwahi la Lowassa ni sh 25000.