ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,291
- 4,967
afya yake haimruhusu kuwa rais haise afya MIGOGORO
Mkuu,
Angalizo lako linaweza kuwa ni kweli hasa ikichukuliwa Rais Kikwete ni kiongozi asiyeeleweka katika misimimo mingi.
Rais Kikwete hupenda kusema ''akili ya kuambiwa changanya naya kwako''.
Kuna kitua ambacho hatukifahamu lakini ninachofahamu Lowassa hawezi kuondoka CCM kama bado anaamini CCM bado inachagulika katika kiti cha Urais wa Tanzania.
Akipita fisadi lowasa mi nakunya hadharani..
Wanajukwaa!!!
Macho na masikio ya watanzania walio wengi yameelekezwa Dodoma ambapo CCM, Chama kikubwa na kikongwe kabisa hapa nchini na Afrika kwa ujumla kipo katika mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera katika kumrithi Mhe Jakaya Kikwete.
Chambuzi nyingi za siasa kuelekea Magogoni 2015 zimekuwa zikiangaza nani atapitishwa na Chama, uimara wake na udhaifu wake.
Wapo wanaochambua kwa mapenzi, chuki, kutokujua na wengine kwa utaalamu wa hali ya juu.
Mimi kama mchambuzi wa siasa hesabu zangu zinanielekeza kuwa Mhe Edward Lowassa ana nafasi kubwa ya kuibuka mshindi akiwa ndani ya CCM na hata akiwa nje ya CCM.
Matokeo ya uchambuzi wangu hadi kufikia hitimisho kuwa Lowassa ana nafasi kubwa ni baada ya tafakuri ya kina ya mwenendo wa kisiasa tangu mwaka 2005 hadi sasa.
Mwaka 2005, Mhe Kikwete wa CCM alipata zaidi ya 80% ya kura zote na hivyo kuonesha namna gani wananchi walivyokuwa na kiu na imani kubwa kwa Kikwete binafsi na hata CCM kwa ujumla.
Miaka mitano (05) baadaye Mhe Kikwete aliporomoka kwa karibu 20% na hivyo kuambulia kura 5,276,827 sasa na 61.17% ya kura zote. Wapinzani kwa upande wao tunaona Chadema walipata kura 2,271,941; CUF kura 695,667 na NCCR kura 26,388 (hawa ndio UKAWA)
Sasa, tuangalie hesabu za Sayansi ya Siasa vipi zinambeba Lowassa ikiwa atakatwa jina lake na kuamua kuhamia katika mwamvuli wa UKAWA na wenye UKAWA wakampokea??
Kwanza, wakati wakiwa katika zoezi la kutafuta wadhamini Lowassa alijipatia jumla ya wadhamini 874,297 ambao tunaamini kuwa wapo tayari kumpigia kura popote atakapokuwa. Na iwapo kila mdhamini atashawishi watu watatu (03) ni kwamba Lowassa atakuwa na mtaji wa watu 2,532,891.
Sasa (wadhamini x 3)+(mtaji wa UKAWA 2010) =Kura kibindoni
2,532,297 + 2,993,996 = 5,526,293
Kwa hiyo, kama ataingia na mtaji huo katika uchaguzi mkuu atakuwa amebakiza kazi ndogo tu ya kushawishi undecided group na kwa kuzingatia kundi kubwa la vijana ambao hawakuweza kupiga kura 2010 kutokana na kuwa na umri chini ya miaka 18, ambao hakuna ubishi kuwa wengi ni wafuasi wa vyama vya upinzani na hivyo watampa kura mgombea wa Upinzani, ni dhahiri kuwa Lowassa ana nafasi kubwa ya kushinda ikiwa atagombea kupitia CCM au atapitia Muungano wa UKAWA.
Hizo ni hesabu zangu nikiwa mchambuzi huru.
Hesabu zingine hizi hapa:-
Lowassa,Lowassa hadi kero Kila kukicha Lowassa, Lowassa, oooo mtu mawazo yake binafsi tu anakuja na kusema ametumwa na wanainchi katika eneo lake mfano mkoa au kanda amshauri lowassa agombee Urais.
Lowassa jamani hafai, mtu anayejitajirisha kwa kutumia wadhifa wake katika utumishi wa umma hafai kuwa kiongozi kwa sababu siyo mfano wa kuigwa, yaani kuiba mali za umma siyo sifa ambayo inafaa mtu mwingine aige.
Lowassa kuwa kiongozi wa ofisi ya juu kutavutia wezi wenzie kuinajisi ofisi hiyo, yaani kama ukifuga fisi tegemea fisi wenzie kumtembelea fisi mwenzao hawezi kutembelewa na swala.Jamani Lowassa hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Kikwete, Mangula hebu mwambieni huyo mtu kwamba hana sifa za kiti cha urais, anaweza mambo mengine na siyo urais, ni nyie mnamlealea mnamchelewesha mpeni makavu ya moja kwa moja na wala siyo mafumbo mafumbo
CC. 1. Jajaya Mrisho Kikwete
2. Jack Zoka
3. Philip Mangula
4. Abdrahiman Kinana
5. Benjamin Mkapa- Uliwakemea maaskofu ukasema na majoho yao haiwezekani serikali tatu kwa sababu baba wa taifa alikataza mbona Lowassa humkemei? Mnafiki mkubwa wee.
6. Ali Hassan Mwinyi
7. Nape Nnawiye
8. Delvis Adolf Mwamunyange
9. Ernest Hamis Mangu
10. John Komba-na unafiki wako, kama Lulu Michael kakukomba mali zote usitegemee uibukie katika kumpigia dabe fisadi Lowassa, kufa na lywako
11. Rostam Azizi ikulu siyo pango la walanguzi unatumia mapesa yako ya wizi ili umweke Lowasaa ikulu ili uwe ndio uchochoro wako
"........nawaomba maaskofu wote,masheikh wote,na vijana wote.......wanaotaka fedha za haraka haraka........wamfuate EDWARD NGOYAI LOWASA atawapatia! Lakini hana sifa ya kuwa RAIS.............." -Dc Makonda.
Rostam anakuhusu nini kaiba una ushahidi? acheni kuingizia watu wasiowahusu humu pumbavu mkubwa
Lowassa ndio rais ajaye... anzeni kujiandaa kumpokea Rais wa maendeleo sio longolongo...!!!
Hizi hoja zinazosema patachimbika asipoteuliwa Edward Lowassa ni dharau kwa Kamati kuu ya CCM!lowasa akikatwa na cc ya ccm patachimbika by kingunge. nasubiri pachimbike hapo dodoma.
Kwa habari zi sizo rasimi M/kiti ameonekana mkingia kifua Edward Lowassa wale waliokuwa wakisema kwa dhiaka juu ya EL nasikia wameufyata!hili hali M/kiti akiwa mbogo kwa kila mtu!
Waliotegemea kumchekea waishia kununa!