Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Kuna kikosi maalumu cha polisi kutoka singida kiko dodoma kukabiliana na vibaka na mafisadi na vibaraka wao!

#jaribu2020
 
Mkuu hata kama aliiba jina lakini kalitendea haki mpaka kawa Dr. tumsifu kwa hilo.

Wakati mwingine jaribu kuficha ujing.a wako.. unajua yule mwenye jina lake angekua wapi sasa hivi?
 
Wakati mwingine jaribu kuficha ujing.a wako.. unajua yule mwenye jina lake angekua wapi sasa hivi?

Hilo ndio tatizo la kuzaliwa miaka ya 90 ungekuwa umezaliwa miaka ya 70 ungenielewa nakusamehe bure mkuu.
 
Kwa wasiofahamu vizuri, Edward Lowassa ni front man tu katika hizi vulugu za kutafuta kuteuliwa kuwa mgombea Urais wa Tanzania.

Watu walioko nyuma ya Lowassa hawawezi kuruhusu Lowassa kuihama CCM labda kama kwa sasa wana amini CCM haichaguliki tena. Mpaka sasa hakuna vielelezo vinavyoonyesha kama CCM haichaguliki katika kiti cha Urais.

Ikumbukwe kuwa katika siasa za Tanzania a winner-takes-all.

Uchafu wa Lowassa na kundi lake ni mwingi sana kiasi kwamba hawawezi kuruhusu CCM iwe chama cha upinzani kwa sababau itakuwa ni kukaribisha zimwi wasilolifahamu kwenye nyumba yao iliyojaa uchafu wa kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hii ni sawa na kuwa member wa drug cartel halafu baada ya muda ukataka kuachana na biashara hiyo. Haiwezekani member wenzako wakakuacha uondoke huku ukiingiza oxygen mwilini!

Timu Lowassa wanafahamu the stakes are too high, the costs are too dear, and they are ridiculous afraid to keep fighting, but on the other hand, CCM establishment will never allow that to happen…thanks to CCM doctrine and advanced internal intimidation.

Kuna baadhi ya watu wanashangaa wakisikia Lowassa anasema kama kuna mtu hamtaki ndani ya CCM, basi huyo mtu aondoke yeye na siyo Lowassa. Lowassa na timu yake are there to stay!

CCM na Timu Lowassa (Wanamtandao) ni kama drug cartel!

Leo wanatupiana maneno lakini kesho utawaona kwenye majukwaa wakipongezana na kuombeana kura.

Ninawashangaa kidogo wale ambao hawaifahamu CCM vizuri!
 
Mkuu hata kama aliiba jina lakini kalitendea haki mpaka kawa Dr. tumsifu kwa hilo.

Ujinga kama huu ndo hatuutaki hata kuhadithiwa.Tangia lini haramu ikazaa halali?Mwizi akikuibia akaenda kuendeleza ile mali kawa tajiri tuna haki ya kuubariki wizi wake!!

 
Ujinga kama huu ndo hatuutaki hata kuhadithiwa.Tangia lini haramu ikazaa halali?Mwizi akikuibia akaenda kuendeleza ile mali kawa tajiri tuna haki ya kuubariki wizi wake!!


Mkuu miaka ya nyuma shule za serikali zilikuwa ni chache sana ndio maana mtihani wa darasa la saba walikuwa hawasemi umefaulu bali wanasema umechaguliwa, hivyo basi kulikuwa kuna wanafunzi walikuwa wanapata nafasi ya kuchaguliwa kuendelea hawaendi either kwa matwaka yao au matatizo ya kifamilia, ikitokea mtu hakuchaguliwa na ana uwezo basi anakubaliana na mhusika anachukua nafasi yake kama alivyofanya Kigwangala sasa kuna ubaya gani hapo?
 
Lowasa hata kama hatahama CCM lakini kitendo cha kumkata katika kamati kuu kitaikosesha ushindi CCM na upinzani kuchukua dola!!!
 
Back
Top Bottom