Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Ha ha haaaaaaaaa! Naenda kulipia kadi yangu ya uanachama leo.
 
Siku zote pale mategeo yako yanapokuwa tofauti lazima uumie sana.
 
rais ni slaa acheni kelele huyo membe tunamshind nje ya uwanja na mabao yenu ya mikono hata mfunge ma3 membe hatusumbui ni kama tunamukuma mlevi
 
Team lowasa tupo hapa tunaugulia maumivu makali mzee lowasa yupo hapa anacheza na familia yake kama ajui kinachoendelea vile
 
Back
Top Bottom