Edward Lowassa special thread

Edward Lowassa special thread

Mzee Mengi na ITV yake leo asubuhi naona kaweka Clip ya Baba wa Taifa akitahadharisha kuwa CCM isipomchagua mtu anaekubalika na wananchi italia machozi. Nataka kujua huyu mzee Mengi nae alikuwa team mamvi!
 
Yaani nimefurahi kweli maana walikua wananikera kupita Watu hata hawajiongezi unahongwa ili ushabikie unakubali nikajua wengi hawaipendi hii nchi wanapenda vijimaslahi vyao vya muda mfupi hureeeeeeeerrr Dr. Slaa chukua nchi mafisadi yanyongelewe mbali

Kabisaaaaa!! Yaani kwa kilichoendelea kwa Lowassa kilinifanya niwe na hofu na vijana wa taifa hili kwakweli, hivi tutakuwa taifa la kesho hata lini, tunahitaji kuwa taifa la leo na tufanye maamuzi magumu for the sake of our nation sio kuangalia vijisenti unavyopewa leo vikakuziba ufahanu ukaiharibu kesho yako!!
 
Gwajima alisema Lowasa ni chaguo la Bwana.
Kumbe Nabii pia alileta Usanii tu eti?

Kaazi kweli kweli
 
Sasa kimekucha x2 jogoo limepandwa huko
Dodoma!
Dada wa CCM x2 Apewe Kulwa na Deo...
 
this is true,lakini unakuwa umewatukana mwandosya na jaji ramadhani kwa kuwapitisha makamba,migiro na membe.Hao hawafai hata uwaziri ila kwenye serikali isiyo makini ya jk walipeta na wanaendelea kupeta.
Najiuliza sana kuhusiana na hizi gharama alizo inject kwenye kutangaza nia!

Kwa makadirio ya haraka si chini ya 1 bn, ni pesa nyingi kwa upande wangu.

Sasa huyu mzee wetu atazirudishaje??
 
Back
Top Bottom