Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa
Pole sana ndoto za mzee wako hazijawai kuwa kweli. Mjipange sawasawa maana Chadema mpaka sasa hatuna mgombea 2020 inakuwaje ajione yeye anafaa?
asahau kama alikosa 2015 ndiyo basi tena....... bora angekomaa ndani ya chama angejijenga zaidi ili ashindane na Mh Magu 2020 ndani ya ccm. lkn kwa sasa imeshatoka hiyo siasa ni timing na upepo .... kumbuka sasa tunaongozwa na mwanasayanzi kwa hiyo anapiga politcs kwa formular anajihakikishia ushindi kabla mechi haijaanza.View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.
" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
Kwa ujinga wa kuandika hvi..this time itarudi hta kwa kukuchapa viboko.Nidhamu hairudi kwa vitisho, mjinga wewe.
Acha kabisa kumfananisha Lowassa na yule 'uchwara' ambaye anapata hasira na Presha ukimuuliza swali kwa lugha ya malkia.
'Uchwara' kila kukicha anakariri tu salamu za kimakabila na matusi ya kisukuma tu ili kwenda kuropoka kwa watz wajinga.
Wachache sana watakuelewa maana ys h~ msg yakoAna hekima na busara sana. Sikuwahi hapo nyuma kufikiri kuwa siku moja angekuwa kinara wa siasa za chadema.
Anajua kuztumia turufu zake.
Kwa heshima huyu mzee angapumzika apishe vijana wenye mawazo mapya!View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.
" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
Hizi siasa za kuvuka mipaka kwenye nchi jirani zitakuja kuleta matatizo mbeleni. Hapa nawaongelea EL na Raila pamoja na marafiki zao waliopo madarakani.
Na bado..hadi ujue kufikiri kwa kichwa sio tumbo kenge mweusi wewe.
Post sent using JamiiForums mobile app
Sumaye sijui atasemaje hapo. Ngoma inaanza kunoga.View attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.
" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017
Sio hilo tu. Pia ni mjuzi wa kutukana. Na kukejeli. Akisaidiwa na lile bilongenyanyaHuyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Si alisema akishindwa ataenda kuchunga ng'ombe,ahadi ni deni bana mbona haeleweki ,mwenye Chadema huyooo,DJ kibarua tuView attachment 543420Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifanyiwa mahojiano na kituo cha televisheni cha Nation TV cha jijini Nairobi nchini Kenya.
" Watu wengi wananiuliza kuhusu 2020, Jibu ni Moja Tu. NITAGOMBEA"
Edward Lowassa
Nairobi Serena
16 July 2017