Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Edward Lowassa: Ni kweli nitagombea Urais 2020

Kwenye hilo mnadai aliagizwa na Jakaya Kikwete ila kwenye Richmond mnadai alifanya mwenyewe! Halafu anaitwa Lowassa na siyo Luwassa. Wa wapi wewe!

Halafu Juma Mwapachu ile haikuwa kazi bali ni hadhi inayotokana na kuwa na Maslahi kwenye Acacia.
Zile millions za michango zilitokea huko, Luwasa alipotoka ccm naye akatoka, akarudi ccm baada kuona 'washirika wakila kibano'.....sasa kaamua kuchomoa baada kuona makinikia yamekwama bandarini
 
Huyu ndie rais wangu sio huyo wa kanda ya ziwa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo bodaboda hatuna chetu katika kumshawishi kugombea? Dah! Asingesema basi
 
Hata mimi kiwa bado hai nitampa kura yangu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kiwete alishindwa mwaka 1995 miaka kumi baadaye akagombea tena, alikuwa na nini cha ziada?
Yule alikuwa kwenye chama, alafu istoshe tukimweka akiba nyie wa kwenu nae hahaaa mnanifraishaga na iman yenu mnavoipenda chadema na kuwa na iman nayo kama ingekuwa din mngeenda pepon

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyu anazo sifa za kuitwa rais wa nchi maana anazo hekima na busara katika maneno yake, hivyo ni rahisi kwake kuunganisha jamii yote ya Watanzania na kuwa kitu kimoja, siyo huyu ambaye anaamini wakosoaji wake ni maadui wa taifa hili
Mkuu aliulizwa swali jepesi tu Kama atagombea urais.
Mkuu ulivyompamba ni tofauti na ihalisia wa alivyo
 
kwa hyo makada wengne nao hawataruhusiwa kugombea nae ndan ya chadema kusaka fursa ya kuahindana na magufuli
 
Huyu aliyesema to develop you have to improve poverty, au lowasa mwingine?!
Unaweza kukiongea hicho kiswahili tu na ukakosea kutamka neno ukatamka ndivyo sivyo we unadhani hapo kama aliongea kwwli alikuwa na maana gani??
 
Kiukweli Lowassa anaweza kufanya interview za kimataifa vyema, anajiamini na anajua nini cha kujibu, yote kwa yote ile Lugha ya Malkia inakwenda vizuri.
"Unanionea"-lowassa!
Baada ya kupigwa swali na Zuhura Yunus wa BBC ni nini ataifanyia Tz kama atakuwa rais wakati akiwa waziri mkuu alishindwa hata baadhi ya majukumu yake kama waziri!

NOTE:
Alihojiwa na BBC (British Broadcasting Coorporation) LAKINI bado watanzania tukachinja, sembusw hako ka chaneli ka kenya!!
 
Vyama vya kihuni utavijua.Lowassa tayari ameshajipitisha mwenyewe kugombea na Tanapa wanashangilia tu.
Vyama makini mtia nia atasubiri hadi vugu vugu lianze,lakini jamaa lina uchu wa madaraka,limeshajiteua uchaguzi bado miaka mitatu
 
Edward Lowassa wants to IMPROVE POVERTY in order to improve Tanzania economy!
Hayo ni maneno au kiinglishi chake!!
 
Kiukweli Lowassa anaweza kufanya interview za kimataifa vyema, anajiamini na anajua nini cha kujibu, yote kwa yote ile Lugha ya Malkia inakwenda vizuri.
Unaikumbuka ile interview yake aliyofanyiwa na kituo cha BBC/swahili?

Samsung S8
 
Hizi fujo za huyu mzee sijui kama zitaiacha Cdm salama.Chama kina utaratibu wa kupata flag bearer....ina maana hatambui hilo? Muda utasema but i smell rat somewhere.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Yule alikuwa kwenye chama, alafu istoshe tukimweka akiba nyie wa kwenu nae hahaaa mnanifraishaga na iman yenu mnavoipenda chadema na kuwa na iman nayo kama ingekuwa din mngeenda pepon

Post sent using JamiiForums mobile app
Tunaipenda lakini si kiuendawazimu!
 
Back
Top Bottom