Edward Lowassa: Nasali sana ili nipate Urais

Edward Lowassa: Nasali sana ili nipate Urais

Hauna jipya kinachokusumbua ni frustration baada ya kujaribu njia zote kumchafua Lowassa mkashindwa! Hatutaki kusikia mbwembwe zenu na fitna tuko uwanjani tuangakie mpambano!

My Sister Tiba,, hapa sasa ndipo lazima uukubali ukweli mchungu, kuwa huyu ndie rais wako ajaye!. Ni kweli hao ngombea ndio utajiri wake pekee alioanza nao maisha ila kwa vile huyu ni mtu wa Mungu, hivyo ana upako fulani kama wa Midas, everything he touches turn to gold!. Alipokuwa mgurugenzi wa AICC neema ikamwangukia, akaanza kumiliki land Arusha, Mungu akamuangazia akapewa wizara ya Ardhi, enzi hizo viwanja vikitolewa bure tena prime areas!, akajenga zile nyumba akakodisha mabalozi faida akaitumia kama mtaji wa Alfa!. Mungu akamuangazia zaidi akapewa wizara ya Mifugo, Ranchi ya zaita zikauzwa kwa bei ya bure na yeye uwezo alikuwa nao hivyo akanunua!. Mungu akambariki zaidi na kumfanya akawa Waziri Mkuu wetu lakini katika maandalizi ya kumfanya awe rais wetu, Mungu akampitisha kwenye majaribu ya Richmond, ili iwe kama kawaida baada ya mateso na kifo, huja ufufuko na uzima wa milele, sasa hii ndio safari ya kukitwaa kile kiti alitayarishiwa na Mungu mwenyewe, au hukumsikia TB Joshua?!.

Kilichoanzisha Alfa ni mtaji kutokana na vitega uchumi vyake, hata hizo Nyumba London ni faida tuu kutoka vitega uchumi vyake!.

Kwa vile ni mtu wa Mungu na mwenye upako wa neema, hao marafiki zake wanaomchangia wamejikuta wanabarikiwa sana hivyo kuchanga zaidi na zaidi kama sadaka tuu makanisani, hawasubiri kuja kulipwa baadae ila kila ukitoa tuu unajikuta unazidishiwa mara sabaini fii sabaa!.

Hiyo the bottom you are very right, EL is not clean!, yae he is not, hata JK was not clean, but he was!, hata CCM is not clean, but it is!, hata YULE aliyekuja kuukomboa ulimwengu huu, aliisha sema hakuja kwa ajili ya wakamilifu!, alikuja kwa ajili ya hao hao ambao sio clean!. Na akasema "Wainuliwe wote wenye mizigo waje kwa YEYE wapumzishwe!", ndio maana hata lile zigo la Richmond, amelibeba tuu sio lake, na sasa anasubiri kuinuliwa ili apumzishwe kule juu!.

Kama JK amweza kuwa presidential material na ametutawala miaka hii kumi, EL ni 100 times better, ataiinua hii nchi kutoka huku kwenye vumbi na majajala na kutupeleka kwenye ile nchi ya ahadi, mabomba mchi nzima yatatoa maziwa na asali!.

Hata alipokuja YEYE, mwanzo alikataliwa hivi hivi mnavyotaka kumkataa huyu mtu!, hivyo sasa YEYE aliyemwandikisha atajidhihirisha utukufu wake kwenu, kwa "lile jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!",

Amesema "Huu ni mwamba na juu ya mwamba huu, nitalifa taifa langu!".

Just wait and see!.

Pasco

Mtajamba sana mwaka huu na hili JIZI lenu. Hata hamwelewani kauli.

Je, akiukwaa URAIS atajiuzia kitu gani tena jamani, UWIIII nchi yetu!!!
 
Ina maana akishaupata urais ataacha kusali? Huyu anayetamani madaraka kiasi hiki anatia mashaka Sana.
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu na mtia nia ya Urais kupitia CCM amesema kuwa anasali sana ili aupate Urais wa JMT, ameyasema hayo akiwa mkoani Kigoma akitafuta wadhamini.

Source: RFA-Magazetini leo

Lowassa ndio rais wa 2015.... Hilo halina shaka kabisa
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu na mtia nia ya Urais kupitia CCM amesema kuwa anasali sana ili aupate Urais wa JMT, ameyasema hayo akiwa mkoani Kigoma akitafuta wadhamini.

Source: RFA-Magazetini leo

hili tatizo sasa, inamaana akiupata huo urais ndio mwisho wa kusali kwake, kweli huyu hafi kuwa rais tumtose tu
 
Mtajamba sana mwaka huu na hili JIZI lenu. Hata hamwelewani kauli.

Je, akiukwaa URAIS atajiuzia kitu gani tena jamani, UWIIII nchi yetu!!!

Alijiuzia mama yako? msione tunakaa kimya mkafikiri hatuwezi jibu kwa lugha zenu hizo zisizokuwa na staha, watanzania wa leo wanafahamu hawadanganyiki, hizo tuhuma zenu toka tumeanza kuziskia basi sina shaka mafaili yake yangeshagakuwa kwa Dr Feleshi tangu akiwa DPP au hata mahakamani, peleka ushahidi kwa Mganga amshitaki.
 
Bora yeye anayesali...wengine ni mizimu na uchawi mtupu...

aliyekwambia anasali sana nani huyu kiini macho tu hapa hivi humjui Lowassa? Anapotaka urais huyu jambazi anatumia kila mbinu kuhakikisha nchi inashikwa na majambazi wenzake.watanzania hatutakubali kuiuza nchi yetu kwa wafanyabiashara.hata siku moja.
 
urais ungekuwa anatoa Mungu kama tuzo... basi kusingekuwa na uchaguz.

Ajiulize atawafanyia nini wa tz(wapiga kura)?
 
Ina maana akishaupata urais ataacha kusali? Huyu anayetamani madaraka kiasi hiki anatia mashaka Sana.

Hivi nyie misukule mnataka nini? akisali shida, akichangiwa pesa na marafiki zake shida, akiungwa mkono na haraiki ya watu shida, eti kawanunua, mnataka atambike kama Membe ili aupate uRais? mjiandae kisaikolojia sasa maana Mungu akisema ndio hakuna atakayepinga.
 
Alijiuzia mama yako? msione tunakaa kimya mkafikiri hatuwezi jibu kwa lugha zenu hizo zisizokuwa na staha, watanzania wa leo wanafahamu hawadanganyiki, hizo tuhuma zenu toka tumeanza kuziskia basi sina shaka mafaili yake yangeshagakuwa kwa Dr Feleshi tangu akiwa DPP au hata mahakamani, peleka ushahidi kwa Mganga amshitaki.
A corrupt system never deliver.

Solution ni overhaul
 
Lowassa ndio rais wa 2015.... Hilo halina shaka kabisa

Hatujasahau matatizo ya umeme yaliyoikumba nchi hii.yeye na wenzake wakapokea mabilioni yao.nasikia mpaka leo wanalipwa. Hii nchi ni mwiko kuwakabidhi walanguzi.tena mwiko mkome kabisa.endeleeni na biashara zenu lakini siyo ikulu.ile ni sehemu takatifu.
 
A corrupt system never deliver.

Solution ni overhaul

So the issue is not EL bali ni system si ndio, and if that's the case then kwa nini mnamuattack personally? is that fair kweli? siasa za aina hiyo zishapitwa na wakati na ndo maana tuliamini tatizo lilikuwa ni uwaziri mkuu wake na sasa ni uRais na kipindi hiki tutapambana.
 
Hivi nyie misukule mnataka nini? akisali shida, akichangiwa pesa na marafiki zake shida, akiungwa mkono na haraiki ya watu shida, eti kawanunua, mnataka atambike kama Membe ili aupate uRais? mjiandae kisaikolojia sasa maana Mungu akisema ndio hakuna atakayepinga.

Watanzania tumeshasema nchi hii hapewi mlanguzi.kuna biashara nyingi zakufanya.aendelee na ufugaji,vodacom,real estate, na kampuni zake na wafanyabiashara wenzake.ikulu siyo sehemu ya kupiga dili za kibiashara ni mahali patakatifu.mbona hamuelewi nyie watu wa lowassa mkoje?
 
So the issue is not EL bali ni system si ndio, and if that's the case then kwa nini mnamuattack personally? is that fair kweli? siasa za aina hiyo zishapitwa na wakati na ndo maana tuliamini tatizo lilikuwa ni uwaziri mkuu wake na sasa ni uRais na kipindi hiki tutapambana.

Mwizi akikuta mlango wa strongroom uko wazi atafanya nini?

Je, akikamatwa atasingizia mlango kuwa wazi?

Je, akibahatika strongroom ya BOT (ikulu) ataifanyaje?

Jibu na bandiko la Pasco kuhusu nafasi alizobarikiwa kushika EL na Mali alizozoa.
 
Lowassa ndiye mwana ccm pekee mwenye dhamira ya dhati ya kuwa rais wa Tanzania..

Huyu ni mgombea mchamungu ndomana kila alifanyalo humtanguliza mungu mbele

Yani mtu awe mwizi kwa makusudi kabisa halafu anasali anamwabudu mungu gani labda kama anaabudu miungu.

Kama ccm mlijua mwizi mbona mlimkumbatia mpaka leo wote wezi tu .
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu na mtia nia ya Urais kupitia CCM amesema kuwa anasali sana ili aupate Urais wa JMT, ameyasema hayo akiwa mkoani Kigoma akitafuta wadhamini.

Source: RFA-Magazetini leo

Pumbav sali sana ili uupate ufalme wa mbinguni.
 
lowasa ni mwizi na fisadi mkuu ,lile joka la makengeza ni li malaika lake.kama mnampenda kanyweni naye kikombe loliondo.kama Mungu Yuko upande wetu lowasa urais atauskia kwenye bomba,kama Mungu akituacha tutashtaki kwingne ila Mungu atatusimamia.pigo la kwanza alichapwa Arumeru .
 
Hatujasahau matatizo ya umeme yaliyoikumba nchi hii.yeye na wenzake wakapokea mabilioni yao.nasikia mpaka leo wanalipwa. Hii nchi ni mwiko kuwakabidhi walanguzi.tena mwiko mkome kabisa.endeleeni na biashara zenu lakini siyo ikulu.ile ni sehemu takatifu.

Mwaka huu tutasikia mengi, kumbe yale mliyokuwa mnatuaminisha kwamba ni kampuni yake ulikuwa uzushi? kama ni kampuni yake ilikuwaje akajilipa hayo mabilioni? nimekuomba kitu hujakifanya, weka ushahidi hapa unaomuhusisha Lowassa na biashara chafu tujilidhishe ili tusimuunge mkono, leta ushahidi hapa wa wizi mie personally taupeleka kwa DPP ili ashitakiwe, tofauti na hivyo unakaribishwa kwenye safari ya matumaini.
 
Back
Top Bottom