nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
lowasa ameupania sana urais. akiukosa atakufa na pressure...
we cant ray on kashfa ambazo hata mahakaman hazipo! mbona uhuru kenyatta kawa rais huku kes ikiwa ICC?? na hata kama akiwa mtenda dhambi vip kwa mungu kuna kila msamaha ukipiga goti kwake! wewe subiri utabiri wa TB shojua utimie..!
Waziri Mkuu aliyejiuzulu na mtia nia ya Urais kupitia CCM amesema kuwa anasali sana ili aupate Urais wa JMT, ameyasema hayo akiwa mkoani Kigoma akitafuta wadhamini.
Source: RFA-Magazetini leo
Lowassa ndiye mwana ccm pekee mwenye dhamira ya dhati ya kuwa rais wa Tanzania..
Huyu ni mgombea mchamungu ndomana kila alifanyalo humtanguliza mungu mbele
Lowassa alianza na Mungu kwa njia ya kupanda mbegu kwenye nyumba za ibada. Pale walipomtuhumu kwa uongo hakuwajibu alienda madhabahuni, alikaa kimya na kusikiliza sauti ya Mungu "usijibizane na hawa nitakupigania na utashinda"
Baada ya miaka Saba ya vita kali Mungu akamuinua Lowassa baada ya sala zake na sadaka yake kupokelewa na Mungu.
Waliodhani hatasimama tena Mungu amemsimamisha Mara nyingine tena. Na hii ndiyo nguvu ya Lowassa ni ucha Mungu wake. Hili litamfikisha mbali, na viunzi vyote kwa msaada Wa Mungu ataviruka na taji atavikwa.
Tusichokijua hakuna kiongozi hata Mmoja Wa CCM au Wa upinzani anayemchukia Lowassa. Wote wanamkubali kuwa uwezo na busara anazo. Wanajua siyo mnafiki bali mungwana sana.
Ni mtu ambaye ni msikivu sana mpole asiyevumilia mamba ambao hayana tija. Ni MTU straight forward siyo mbabaishi. Ukifanya jambo atakutazama machoni na kusema hapana Y hili siyo sahihi. Na ndiyo siri ya mafanikio ya watu wengi wenye kusema kweli kwa kusimamia wanachokiamini ni cha kweli.
Yani mtu awe mwizi kwa makusudi kabisa halafu anasali anamwabudu mungu gani labda kama anaabudu miungu.
we cant ray on kashfa ambazo hata mahakaman hazipo! mbona uhuru kenyatta kawa rais huku kes ikiwa ICC?? na hata kama akiwa mtenda dhambi vip kwa mungu kuna kila msamaha ukipiga goti kwake! wewe subiri utabiri wa TB shojua utimie..!
Mkuu acha kumsingizia mungu..samahani lakin..
Mungu labda awe shetani,Mungu gani anaruhusu UFISADI?visasi....!!
Lowassa ndiye mwana ccm pekee mwenye dhamira ya dhati ya kuwa rais wa Tanzania..
Huyu ni mgombea mchamungu ndomana kila alifanyalo humtanguliza mungu mbele
Lowassa lazima aseme anautaka urais sana maana kapokea hela za watu kibao.
Hapo kwenye red, huyo MPETE mkuuubwa anaouva ni wanini? au wamasai siku hizi wanavaa mipete ya gold?
Nilishtuka niliadhan Anamuomba Mungu kumbe mungu hili halina haka maana kuna miungu wengi ila Mungu wa kweli ambaye anaadikwa kwa herufi ya kwanza Kubwa yaani Mungu hawezi kubariki udhalimu na ufisadi uliofanyika na unaoendelea kufanywa,Mungu si kupewa rushwa namba hiyo!Rais atapatikana katika njia za Haki na si uzandiki kwa namna hiyo!ila povu lote ulilotoa ni matokeo ya kujishibisha upepo ambao matokeo ya rushwa na ufisadi!mwalimu Nyerere alishatumbua macho juu ya EL waweza danganya watu kwa muda si wakati wote!
we cant ray on kashfa ambazo hata mahakaman hazipo! mbona uhuru kenyatta kawa rais huku kes ikiwa ICC?? na hata kama akiwa mtenda dhambi vip kwa mungu kuna kila msamaha ukipiga goti kwake! wewe subiri utabiri wa TB shojua utimie..!
Jamani jamani. Hivi mbona mnaendelea kuongelea hawa watu? Kila kukicha ni Membe, Lowasa. Hawa wote hawafai kabisa kwenye nafasi ya urais. Tunataka Rais wa kutuunganisha Watanzania na si kutugawa