Edward Lowassa: Nasali sana ili nipate Urais

Edward Lowassa: Nasali sana ili nipate Urais

Mkuu do not panic ...relax mkuu..twende taratibu ...ok..haya nieleze alichosema au kama una audio or video ya hicho alichosema weka mkuu...but usijal mm niko dunian since 1990....

Sasa kama hujui kwa nini unatuhumu, no research no right to speak mwenyekiti Mao alisema, ingia yutyubu tafuta "Edward Lowassa mahojiano na TBC" then sikiliza kijana.
 
Sasa kama hujui kwa nini unatuhumu, no research no right to speak mwenyekiti Mao alisema, ingia yutyubu tafuta "Edward Lowassa mahojiano na TBC" then sikiliza kijana.

Mkuu hata kuwasikia watu wakisema ni research mkuu...kwa hiyo i have right to speak ....ww watu woote wamsingizie yy tu why ??hata ww ujiulizi mkuu!!kwa nn yy na asiwe mwingine...lowasa yuko very debatable and complicated katika maswala yake...let us keep down na tuchue watu saafi..ova
 
mpelekeni lowasa ikulu halafu tuombe uzima tuione miaka yake mitano mtaniambia.Na mtu asilalamike lkn hata pakulalamikia hapatakuwepo kwan kubenea si mnajua kilichotokea?hii nchi in aenda Kuwa police state na sheria za kijeshi zinaanza kutumika uraiani,we mama Tanzania waamshe watoto wako maana sijui nani aliyewarogaaaaaaa?

Lowasa ndio rais ajae wa Tanzania
 
Natabiri Tena Ndani Ya Miaka 2 Ya Uongoz Yani 2017 Utalipuka Ufisadi Mmoja Hatari
 
Mbona bunge limesema hivyo mkuu..??mbona mwenyewe ajakana mkuu?mbona atuambii ukwel ilikuwaje? au walimsingizia au laa?...mwakyembe alivyosema akikataa atatia in and out akakaa kimyaaaa....au mkuu ww ushalamba baasha mkuu??

Waziri mkuu wa Tanzania ni cheo ambacho kipo ceremonial na sio executive kama nchi zingine kama UK, ETHIOPIA, ISRAEL NK.Kwahiyo mpk hapo inabidi ufahamu kua Richmond was a collective Government thing and not Lowassa as individual.
Secondly Lowassa hakuhojiwa na Tume which was a gross mistake. Naomba unitajie Tume gani ambayo umeisikia duniani ambayo inafanya conclusion yake pasipo kumhoji mhusika mkuu wa hizo tuhuma? Natural justice haikufikiwa.
Thirdly kama Richmond ilikua fake,mbona serikali iliinunua Dowans na it took Hillary Clinton and her President Barack Obama to come and officiate the operations?
 
Musa kweli nilidhani zinakutosha kumbe hamna kitu hivi ni mungu yupi anayemwomba huyo fisadi ili awe raisi? Au nabii Joshua? Lowassa ni mwizi mkubwa huto tu hela mnatopewa ndio tunawaponza
 
Waziri mkuu wa Tanzania ni cheo ambacho kipo ceremonial na sio executive kama nchi zingine kama UK, ETHIOPIA, ISRAEL NK.Kwahiyo mpk hapo inabidi ufahamu kua Richmond was a collective Government thing and not Lowassa as individual.
Secondly Lowassa hakuhojiwa na Tume which was a gross mistake. Naomba unitajie Tume gani ambayo umeisikia duniani ambayo inafanya conclusion yake pasipo kumhoji mhusika mkuu wa hizo tuhuma? Natural justice haikufikiwa.
Thirdly kama Richmond ilikua fake,mbona serikali iliinunua Dowans na it took Hillary Clinton and her President Barack Obama to come and officiate the operations?

Umejieleza viziri...noted mkuu...
 
Anahitaji TOBA zaidi kuliko SALA:


Alipokuwa mkurugenzi AICC akajimilikisha "Land"

Alipokuwa waziri wa ardhi akajiuzia nyumba na viwanja bei chee maeneo muhimu Dar (anapangisha mabalozi).

Alipokuwa waziri wa mifugo akajiuzia Ranchi za taifa kwa bei poa. Tamaa.

Alipokuwa waziri mkuu alihusishwa na kasha ya Richmond akalazimika kujiuzuru.

Je, akiukwaa URAIS wa JMT atajiuzia kitu gani? Watch out!!!

TAMAA YA FISI..

Duuu, akipewa urais anajiuzia nchi nzima kwa bei poooa.

Tuwe macho tusijejuta miaka 10 mingine tukajikuta tumepiga 20yrs of suffering
 
Inategemea anasali kwa nanani, kwa Mungu, mizimu, mkuu wa anga..mkuu wa giza....
 
Unaonesha jinsi gani uko empty upstairs, kampuni hewa ilikuwaje mkainunua? kama ulikuwa mkataba mbovu kwa nini baada ya Lowassa kujiuzuru serikali eliendelea na mchakato wa kuukamilisha na baadae kulipa maana mpaka Lowassa anaondoka hakuna hata senti moja ya serikali iliyokuwa ishatoka, unazungumzia kitu ambacho kiko wazi, tume ya Mwakyembe haikuzingatia natural justice, hawakumuhoji Lowassa kitu ambacho si cha kawaida.

Hizo tuhma za kishenzi zisizokuwa na mashiko ndo tunazozikataa, hivi kweli una ushahidi wa Mhe Lowassa kumpa sumu Dr Mwakyembe?

nadhani haya maswali ungemuuliza Lowasa ambaye ndio mtuhumiwa.atujibu lakini kwa sababu hataki kueleza ukweli kuwa ile kampuni hewa ya mfukoni ya umeme ilikuwa ya nani basi sisi tutaendelea kuamini ripoti ya bunge ambayo wajumbe wake walifanya uchunguzi na kubaini bwana mamvi na wenzake walipiga deal.Kama kweli anataka kusafishika na hii skendo atueleze wazi kama hakuhusika yeye alihusika nani? Full stop
 
Hivi Ibada hizi na Viliohivi na Gharama lengo lake ni kumtetea Mtanzania kweli au lipo jambo? VIONGOZI WA CHAMA MTAFAKARI SANA NA MTUPATIE MGOMBEA SAHIHI KWA MATATIZO YETU.
 
Lowassa ndiye mwana ccm pekee mwenye dhamira ya dhati ya kuwa rais wa Tanzania..

Huyu ni mgombea mchamungu ndomana kila alifanyalo humtanguliza mungu mbele

Unadhani kila anaye litaja jina la Mungu ni mcha Mungu? Huamini kuwa kwenda kwenye nyumba za ibada kushirikiana na wanaoabudu kwa watu wengine ni kama mazoea au fashion tu!
 
Tumwombe Mungu kwa bidii atusaidie tuchague rais anayefaa,maana kwa sasa magugu na ngano yameota pamoja na tusipokuwa makini tutangoa ngano tukifikir magugu au kupalilia magugu tukifikir ngano.
 
Eddo ukiwa unasali kwa bidii kwa miungu wako ili uupate urais na kutuibia tena,Mimi nasali kwa Mungu wa wakristo na waislamu ili ata Chama chako kisikuptishe kama mgombea.Wewe hautufai nenda kasali na Ngwajima na mkewe Frola.
 
Uongozi hauombwi Na mhusika Bali mungu ndiye anachagua Kwa mapenzi yake Kwa surprise !!!
Huwezi kutumia hela kuomba uraisi halafu bado mungu akawa upande wako !!
Vya kaisari na vya mungu kamwe havichangamani !!! Labda Kama unamwomba mungu wa bahari ( ibilisi)
 
Back
Top Bottom