Edward Lowassa: Nasali sana ili nipate Urais

mwiz mwiz mwiz mwiz mwiziiiiiiii,jinamizi la monduliiiiii,,,,, linatisha hata kulitazamaaaaaaaaa,,,,tindikaliiiiiiiiiiiiiiiii,,,,Tupo tumejaaa teleee.hivi waziri mkubwa mbona wazee hawataki kustaafu uongoziiii?umekaa serikalini miaka 40 bado unataka tena?Mimi mfalme juha migodi yote kumi ya kwanguuuuuuu
 
Mwaka huu tutasikia mengi, kumbe yale mliyokuwa mnatuaminisha kwamba ni kampuni yake ulikuwa uzushi? kama ni kampuni yake ilikuwaje akajilipa hayo mabilioni? nimekuomba kitu hujakifanya, weka ushahidi hapa unaomuhusisha Lowassa na biashara chafu tujilidhishe ili tusimuunge mkono, leta ushahidi hapa wa wizi mie personally taupeleka kwa DPP ili ashitakiwe, tofauti na hivyo unakaribishwa kwenye safari ya matumaini.
Wewe nadhani utakuwa ni mtoto wa juzi kwenye siasa za nchi hii.unakumbuka ripoti ya ufisadi iliyosomwa bungeni na Dr.Mwakyembe ikihusisha kampuni hewa ya umeme ya Richmond?Huyu jamaa yako lowasa aliambiwa ajipime maana ripoti ilimtaja moja kwa moja kwa jina kuwa ndio muhusika.wa ufisadi ule.alichokisema ni kwamba tatizo ni uwaziri mkuu.akajiuzulu baada ya hapo akamwagia Dr.Mwakyembe sumu kidogo afe kama siyo serikali kumsaidia matibabu India. Leo mnajifanya mmesahau yote mnataka tumkabidhi ikulu.haiwezekani aisee.
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu na mtia nia ya Urais kupitia CCM amesema kuwa anasali sana ili aupate Urais wa JMT, ameyasema hayo akiwa mkoani Kigoma akitafuta wadhamini.

Source: RFA-Magazetini leo

Vipi kuhusu afya yake !? ..... hilo haitaji kulisalia ? Duuuh...huyu jamaa katupangia nini ? amepokea advance nini !?
 
Wewe nadhani utakuwa ni mtoto wa juzi kwenye siasa za nchi hii.unakumbuka ripoti ya ufisadi iliyosomwa bungeni na Dr.Mwakyembe ikihusisha kampuni hewa ya umeme ya Richmond?Huyu jamaa yako lowasa aliambiwa ajipime maana ripoti ilimtaja moja kwa moja kwa jina kuwa ndio muhusika.wa ufisadi ule.alichokisema ni kwamba tatizo ni uwaziri mkuu.akajiuzulu baada ya hapo akamwagia Dr.Mwakyembe sumu kidogo afe kama siyo serikali kumsaidia matibabu India. Leo mnajifanya mmesahau yote mnataka tumkabidhi ikulu.haiwezekani aisee.

mkuu watu wengne ni janga,rushwa inapofusha inaziba maskio,HV kweli kabisa sisi tuliokaa gizani Mwaka mzima kwa ushenzi Wa Huyu lowasa na jamaa zake Leo tunamshabikia lowasa!kuna wazee nao memory card zimejaa wamelambishwa sukari ya yuda wanaanza kuwaaminisha mapopoma eti lowasa ni msafi,inashangaza.
 
mpelekeni lowasa ikulu halafu tuombe uzima tuione miaka yake mitano mtaniambia.Na mtu asilalamike lkn hata pakulalamikia hapatakuwepo kwan kubenea si mnajua kilichotokea?hii nchi in aenda Kuwa police state na sheria za kijeshi zinaanza kutumika uraiani,we mama Tanzania waamshe watoto wako maana sijui nani aliyewarogaaaaaaa?
 
Hata Ungekuna Na Rusifa Mwenyewe Nchi Inakwenda Ukawa Mungu Najua Mungu Unaemwabudu Sie Alieziumba Mbingu Na Nchi, Leo Utasikia Uko Kanisani Kesho Uko Mskitini Kesho Kutwa Uko Kwa Kalumanzila, Mala Kwa Tb Joshua Bila Shaka Kuna Mungu Unaemuabudu Ambae Bila Shaka Ni Shetani
 
Hiv mtu akiandika hv"wazir aliyejiuzuru kwa kashfa ya wizi wa mabilioni ya fedha na mikataba fek(Richmond)" kuna tatizo gan hapo.....????
 
With prayers everything is possible. Maombi ya mwenye haki yanafaa sana akiomba kwa Imani. You're our Joshua to take us to Canaan. Viva Lowassa
 
Tatizo lipo because he was not convicted in a court of law.

Mbona bunge limesema hivyo mkuu..??mbona mwenyewe ajakana mkuu?mbona atuambii ukwel ilikuwaje? au walimsingizia au laa?...mwakyembe alivyosema akikataa atatia in and out akakaa kimyaaaa....au mkuu ww ushalamba baasha mkuu??
 
Mwaka huu tutasikia mengi, kumbe yale mliyokuwa mnatuaminisha kwamba ni kampuni yake ulikuwa uzushi? kama ni kampuni yake ilikuwaje akajilipa hayo mabilioni? nimekuomba kitu hujakifanya, weka ushahidi hapa unaomuhusisha Lowassa na biashara chafu tujilidhishe ili tusimuunge mkono, leta ushahidi hapa wa wizi mie personally taupeleka kwa DPP ili ashitakiwe, tofauti na hivyo unakaribishwa kwenye safari ya matumaini.

Ni kweli tutasikia mengi, lakini mengine ambayo hayasemwi ni kwa nini kile Mwakyembe alichosema ktk report yake ya Richmond kwamba wangeeleza ukweli wote kuhusu Richmond serikali yote ingeanguka!? Kwa kuwa hakuna ukweli nusu, basi report ile haikuwa ya kweli kwa kuwa ilibabe ukweli nusu na nusu iliyofichwa ikajaziwa na uongo!!

Kitendo cha kusema tungesema ukweli wote.....!! Huo uliofichwa unamhusu nani?
Kwa nini hayo mengine ya huo ukweli uliofichwa hayasemwi?
 
Mbona bunge limesema hivyo mkuu..??mbona mwenyewe ajakana mkuu?mbona atuambii ukwel ilikuwaje? au walimsingizia au laa?...mwakyembe alivyosema akikataa atatia in and out akakaa kimyaaaa....au mkuu ww ushalamba baasha mkuu??

Ukweli upi unautaka zaidi ya alichokieleza wakati ule TBC akihojiwa na Tido? au ulikuwa bado hujazaliwa? inaonesha unauzoefu sana wa kupewa bahasha so usidhani wote makahaba au mashoga humu.
 
Mkuu do not panic ...relax mkuu..twende taratibu ...ok..haya nieleze alichosema au kama una audio or video ya hicho alichosema weka mkuu...but usijal mm niko dunian since 1990....
 
Wewe nadhani utakuwa ni mtoto wa juzi kwenye siasa za nchi hii.unakumbuka ripoti ya ufisadi iliyosomwa bungeni na Dr.Mwakyembe ikihusisha kampuni hewa ya umeme ya Richmond?Huyu jamaa yako lowasa aliambiwa ajipime maana ripoti ilimtaja moja kwa moja kwa jina kuwa ndio muhusika.wa ufisadi ule.alichokisema ni kwamba tatizo ni uwaziri mkuu.akajiuzulu baada ya hapo akamwagia Dr.Mwakyembe sumu kidogo afe kama siyo serikali kumsaidia matibabu India. Leo mnajifanya mmesahau yote mnataka tumkabidhi ikulu.haiwezekani aisee.

Unaonesha jinsi gani uko empty upstairs, kampuni hewa ilikuwaje mkainunua? kama ulikuwa mkataba mbovu kwa nini baada ya Lowassa kujiuzuru serikali eliendelea na mchakato wa kuukamilisha na baadae kulipa maana mpaka Lowassa anaondoka hakuna hata senti moja ya serikali iliyokuwa ishatoka, unazungumzia kitu ambacho kiko wazi, tume ya Mwakyembe haikuzingatia natural justice, hawakumuhoji Lowassa kitu ambacho si cha kawaida.

Hizo tuhma za kishenzi zisizokuwa na mashiko ndo tunazozikataa, hivi kweli una ushahidi wa Mhe Lowassa kumpa sumu Dr Mwakyembe?
 
Hata Ungekuna Na Rusifa Mwenyewe Nchi Inakwenda Ukawa Mungu Najua Mungu Unaemwabudu Sie Alieziumba Mbingu Na Nchi, Leo Utasikia Uko Kanisani Kesho Uko Mskitini Kesho Kutwa Uko Kwa Kalumanzila, Mala Kwa Tb Joshua Bila Shaka Kuna Mungu Unaemuabudu Ambae Bila Shaka Ni Shetani
E.L akiutaka ufalme wa Ikulu akubali kujitwisha msalaba wake, agawe mali zake zote na ajitenga na kundi lake la mafiaso ( secrety societies)
 
Back
Top Bottom