betty marandu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 1,163
- 725
Kusema mgombea anamcha mungu sana si sawa kwa sabab mcha Mungu kweli anajulikana na Mungu.Wapo wanaojifanya wachamungu lakin ni wanafik.Kutoa michango makanisan na misikitin pekee haionyeshi kuwa mtu ni mchamungu au la bali kama ametoa kwa moyo wa dhati na uchaji.Kwa Mkristo sadaka ni siri kati yako na Mungu tena uwe umeipata kihalali sasa hiyo ya kujitangaza sana kwangu mm ina Sakhalin.sisemi watu wasitoe sadaka ila tuwe makini tusije hadaika kwa sadaka.Pili tunataka Lowasa aseme hadharani ni vip richmond hausik maana nakumbuka mchakato mzima wa richmond ulikuwa utata jamani hebu kasomen upya ripoti ya Mwakyembe then aje akanushe na maswali tumuulize walau tujiridhishe.Si katai Lowasa anaweza kuwa rais au la ila mm naona tuache ushabiki wa watu na vyama wale wote wanaojiita wachamungu kila mtu na iman yake tumwombe Mungu ili tumpate kweli mtu ambae ana nia ya dhati kutusaidia watanzania tutoke hapa tulipo.