Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Pale aliposema matatizo yenu nimeyasikia na majibu yake yapo kwenye ilani ya chama hukupasikia, akasema watayajibu jmos au mm masikio yangu mabaya? Queen Esther mm ni ccm damu, ila hapo umewaonea jamaa kasema atayaongelea jmos
 
Last edited by a moderator:
Je akiingia madarakani ataweza kulihutubia taifa kila mwisho wa mwezi kwa muda mrefu?

Kwani lazima autubie kwa muda mrefu hata kama n pumba? Cha msingi n point hata akiutubia kwa muda wa dk 5

Cha msingi n facts anazoongea kama zimeisha, kwani hotuba ndefu ni sifa hata kama n pumba?
 
Hiyo kuu yako Ni ya kuorewa au nini funguka maana kwenye kiu ya kitu hutafuta kitu hicho, nenda kwa magufuli akukate kiu
 
tatizo lako wewe umeanza kumjua lowasa baada ya kununuliwa ili umfanyie kampain kwenye mitandao au wewe ni wajana katika taifa hili

nakutuma

katafute hotuba yake ya kujiuzuru uwaziri mkuu ndo utajua lowasa sio msemaji au anaumwa?
achana na mungu yeye alijikita kwenye kuwapa sumu washindani wake kisiasa na yeye mungu amempa kiarusi chake ahangaike nacho ,malipo ni hapahapa duniani,


Labda uniambie wewe na yeye mliwahi kuwa pamoja wapi hadi umjue kwa kiasi unachojiaminisha hapa.Ninazo clips zake nyingi tu na hata hiyo hotuba yake ya kujiuzulu aliitoa kama msomi mzuri na kiongozi mwenye uwezo mkubwa. Nisiowajua ni hao unaowaita washindani wake kisiasa na kilichokuwa kinashindaniwa. Kwako anaeumwa hasemi na kwa kuwa wewe ni daktari unaemtibu tueleze na hao wa kupewa sumu kama nao uliwatibu wewe pia.Naweza kukubali mimi ni wajana katika siasa ila nakiri sijawahi kukisoma kitabu ulichoandika wewe nguli wa siasa. POLE ZAKO.
 
Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

Wewe esta kwa jinsi unavyoishambulia UKAWA, sitegemei una lolote la maana la kuwashauri.
Funga mabakuli yako fasta.
 
Kama alijua hana cha kuongea hadi Jumamosi alituitia nini????

Na siku nyingine wasiweke matangazo ya uongo. Hapa ni kumshushia heshima Mbunge wetu na Mkt wa BAWACHA Madame Halima Mdee. Tunamheshimu sana Madame Halima na mchango wake Bungeni unajulikana. Leo hii anaonekana katoa matangazo ya uongo.

Nawaambia UKAWA hakika mtamkumbuka mzee Slaa na Mzee Lipumba. Nitawahi mapema Jumamosi nisikie hizo sera tena za nchi nzima, sekta zote, makundi yote, nk

Pia nasubiri atakavyowanadi waheshimiwa wabunge Kama alivyo kuwa anafanya mzee wetu kipenzi Slaa. Hata kipima joto ITV Leo, watu wanataka SERA na sio MAIGIZO na matusi Kama ya Mhe. Mbatia.

Mimi nilikuwa ukumbini tangu asubuhi na mapema na nimeondoka baada ya speech. Hayo maneno aliyaongea wapi???

Queen Esther

Kwani lazima autubie kwa muda mrefu hata kama n pumba? Cha msingi n point hata akiutubia kwa muda wa dk 5

Cha msingi n facts anazoongea kama zimeisha, kwani hotuba ndefu ni sifa hata kama n pumba?
 
Lowasa kwa kwel kafail kashindwa ata kuwambie nn kilicho kwenye ilan yake anataka wamtafutie kura bila kuwambia wategemee nin kutoka kwake zen ndo wamtafutie kura
 
Ni vizuri sana kuhoji wanasiasa kuliko kukubali tu kwa imani. Nimeandika huko nyuma kuwa tumewakatalia watawala wa sasa kututawala wapendavyo na ni wajibu wetu kuwakatalia watawala wajao nao kuja kututawala wapendavyo. Lowassa na timu yake (chama kilichomsimamisha) wanapaswa kujibu maswali yanayotolewa kwa hoja badala ya kuona kila anayeuliza ana mapenzi ya CCM. Matokeo yake watajikuta wamezungukwa na watu wenye kuwaambia wanayopenda kusikia ili wasionekane wasaliti. Wapinzani wa kweli na watu wa wanaotaka mabadiliyo ya kweli wanajukumu la kuhoji kila anayesimama kudai kuwa anataka kuleta "mabadiliko".

Kuambiwa kuwa shamba liko tayari kulimwa na lina rutuba haina maana tusijue tunataka kupanda nini. Tushangilie tu "tutapanda mazao tofauti mazao tofauti" tukiuliza ni mazai gani tunaambiwa - tusubiri wakati wa kuvuna!
 
Wewe ulikaa miaka yote bila kufanyakazi ukisubiria maisha bora kutoka CCM???? Maisha bora unayatafuta mwenyewe kwa akili zako na juhudi zako. Watu wote wenye juhudi wamefanikiwa. Wewe endelea kunywa viroba subiria Lowassa na mke wake watakuletea maisha bora.

sasa mlitoa hoja ya maisha bora mkijua cc wapuuzi siyo? mtafurahi na bado tunamtaka balali
 
Kumbe ndo sababu wakuu!!

Mke wangu analalamika kufunga duka lake la mitumba hapa karume...eti kaambulia patupu na kura hapigi ....

Ngoja nitamuuliza asubuhi tuu manake keshalala....

Kumbe ndo hayaa...!!
 
Dah pole sana mama kama hukuweza kukata kiu ndo hukati kiu tena kwani umesikia Wapi au ukaona Wapi magufuli ametoa njia ya jinsi ya kutatua kero za wananchi? Kila siku analalamikia mafisadi wakati hao mafisadi wote wanagombea ubunge kupitia chama chake Leo unataka ukatwe kiu msubiri mama tibaijuka akishika wizara atakata kiu yako dada ester
 
Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther

Nilikuwa naangalia live kupitia ITV ,,, ile anaanza tu kuongea nikazima tv na kwenda kwenye mishe zangu,,,,kwani nafaham huwa hana lolote la maana analoongea,,, tangu anatafuta wadhamini ccm hadi sasa yupo ukawa,

Kiufupi El wala hajui atafanya nini kuhusu maendeleo ya Tz atakapofika ikulu ,,,, isipokuwa hivyo viteam vyake vimeshatengeneza vikampuni vya hovyo hovyo vikisubiria kuvuna pindi el akiingia ikulu.

Hatari sana hawa jamaa
 
Huyo mdee si alitangaza kuwa edo ndio mgeni rasmi kwa kifupi hakuna jipya zaidi ya mipasho utawafuata hata chekechea mpate kura
 
Lowassa pumba kabisa, cjategemea alichokifanya. Nilitegemea kwel atakuja na hizo hoja za ukomboz lkn kafanya mambo ya kitoto kabisa, theme na alichokifanya ni upuuzi mtupu.
Mbona we mgumu kuelewa, umeambiwa kikao kilikuwa cha akina mama, wanaume wote walialikwa. Kwa hiyo zaidi ya kuomba wamtafutie kura ukitaka aongee nini kingine? Au ulikuwa na mambo yako ambayo ulitaka kuyasikia lakini hayakusemwa? Nakushauri uende Jangwani jumamosi ya tarehe 29 August huenda kiu yako ikakidhi.
 
Kila mtu na maumbile yake.Kuna waongeaji wazuri na kuna wengine si waongeaji.Ni hulka ya.watu kuwa.tofauti.Lowassa aonekanavyo si muongeaji sana.Sijawahi msikia akiongea kama mwanasiasa hata alivhokuwa CCM so siwezi kumuhukumu kwa maumbile yake.

Sasa kamanda mwenzangu wapiga kura watapataje kujua sera zake.....inabidi viongozi wa Ukawa wawe makini na Hilo....
 
Back
Top Bottom