Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Wanawake wa Tz ni wa ajabu sana. CCM wanataka Samia awe makamu wa rais, ACT wanataka Anna awe raisi. Kwenye hotuba zao walikuwa wanaelezea changamoto na kwamba hawataki nafasi za kupewa bali zenye maamuzi. Hivi ni kwa nini hawakuwaita Samia na Anna wawaeleze matatizo yao na kwamba hawa akina mama wakiingia madarakani wazishughulikie ? Mimi hapo sijawaelewa, hivi watapevuka lini ? Halafu ni watu wasomi, kweli pesa zinamatatizo lakini wasijidharaulishe kiasi hicho. Mnamsomea risala Reina ati akamwambie mmewe, yaani nimechoka ile mbaya !!
 
To be honest, CHADEMA wanatakiwa kufanyia kazi tatizo la speech kwa Lowassa, ni below normal....
 
Aliwaitia nini wale kina mama kama siyo kuwapotezea tu muda. Kaongea kwa dakika tisa tu, tena hakuna cha maana alichozungumza shame on you mamvi

Walioitwa wenyewe wameridhika we sijui unakonda nini!
 
To be honest, CHADEMA wanatakiwa kufanyia kazi tatizo la speech kwa Lowassa, ni below normal....

Maspeech yangekuwa yanalipa tungekuwa mbali sana sasa hivi, maana toka CCM waanze kutusikilizisha hayo majitu jamani...!
 
Tangazo la mkutano alilolitoa Halima Mdee halikuwa linahusu Regina Lowassa anaenda kuongea kina Mama.
Lilikuwa la mshua mwenyewe na ikatangazwa kuwa ataongea na kina mama wa Tz live.
Hicho alichokiengea live ndo kinaangaliwa hapa.
Alichoongea live ndio hiyo kuomba wanawake wamtafutie kura,sasa bila kuingia ikulu hayo matatizo yaliyoainishwa pale atayafanyiaje kazi??
 
kampeni na ilani yake zinafung
uliwa rasmi pale jangwani tarehe 29 mwez huu. hapo ndio atatoa mkakati wake. pale aliwaita kuomba tafu la akina mama kwenye kampeni zake. Msioelewa poleni mtaelewa. Kwani ilani yake umeisikia popote?

Mlizoea mgombea aludiludie mada iliyowekwa mezani. mkewe alishasema matatizo yote. sasa ulitaka na yeye aludie. WALISHAJIPANGA. Tatizo mmezoea nkampeni za kiccm mke wa mgombea anafichwa kapuni kwanza akifundishwa kuongea na mass. Pale milenium si ulimuona first lady mtarajiwa alivyojinadi kwa mambo ya kinamama. Ile ni kwa niaba ya Lowasa kama hujui

Baeleze baelezeee
 
walitoa watatizo yao alisema yataianyiwa kazi subiri kesho,ulitaka ahaidi miloni 50 kila kata, wakati kuna deni la t'40
 
Hapo kaka inabidi wahusika wapate ujumbe kwamba mgombea wao si muongeaji,na hawezi kushika hadira vyema.Kusema wa haki sijawahi kumsikia akiongea hata alipokuwa CCM zaidi ya kutoa ORDER tu.
Bila shaka wahusika wanapaswa kulishughulikia hili swala kwa haraka iwezekanavyo maana muda ni mdogo sana.......sio tu kuwa raisi mtendaji pekee bali pia tunataka raisi muhamasishaji kwa maneno........kwa wanaharakati pia tuna amini kuwa maneno huishi..........
 
Ccm huku jf mtaumia tuuu mana hakuna namna nyingine

You ain't scaring m'fucker, ccm still we are rolling on the way to MAGOGONI, nyie ukawa maigizo yenu yote tunawangoja sanduku la kura mtatukoma.
#hapa kazi tu
# mabadiliko pelekea vinyonga msituni
# safari ya Matumaini pelekea angaza
CCM oyeeeeeeee
 
Bila shaka wahusika wanapaswa kulishughulikia hili swala kwa haraka iwezekanavyo maana muda ni mdogo sana.......sio tu kuwa raisi mtendaji pekee bali pia tunataka raisi muhamasishaji kwa maneno........kwa wanaharakati pia tuna amini kuwa maneno huishi..........

Unachosema ni kweli,hata kwenye interview utakuta mtu msemaji utendaji sifuri na yule mwenye short answers ndiyo muwajibikaji.Tumeumbwa tofauti.Na pia nadhani yupo na hali ya mshutuko baada ya kutoka kwenye stress,inabidi atulize akili yake pia ili aweze kuongea hata kwa ufupi tu.
 
Quote, HÀPA SI PAKUONGEA SANA NIOMBEENI KURA ZENU KWA MABWANA ZENU(WAZEE)KWANI KINA MAMA NI WAAMINIFU KINA BABA SIO SANA BAADA YA BIA MOJA HUBADILIKA" LABDA LEO JANGWANI .CCM ILANI INATANGAZWA KWA WANANCHI HUU MKOA WA NNE NA WANANCHI WANAKUBALI MWANAUME KAZI
 
Maspeech yangekuwa yanalipa tungekuwa mbali sana sasa hivi, maana toka CCM waanze kutusikilizisha hayo majitu jamani...!

Speech nzuri kwa viongozi zina faida zake. Moja; ni kuwavutia watu na kuwaonyesha kuwa wewe ni kiongozi wa aina gani. Huwezi kusimama tu kwenye jukwaa ukatoa speech ya ajabu-ajabu, ukafikiri watu watakuelewa, watanzania tunataka speech nzuri zenye kututia moyo halafu vitendo vinafuata!
 
Itakula kwao kwani nani kawaambia waweke mtu asiye na uwezo wa kujenga hoja na mtu mwenye uwezo mdogo wa speech???
 
Kama Lowasa hasafishiki ninyi ndio hamsafishiki kwa wizi wa Escrow, EPA... umewasikia wapinzani wamo kwenye kashfa hizo na mnajifanya kuwasahaulisha wananchi wasiwafikirie na kuwatoa nje kuhusu madhambi yenu mlivyo wataalam hamzungumzii maovu yenu lol mmeoza
 
Back
Top Bottom