Huyo mdee si alitangaza kuwa edo ndio mgeni rasmi kwa kifupi hakuna jipya zaidi ya mipasho utawafuata hata chekechea mpate kura
Wee mmang'ati wa endasak... 👇👇
Jua taratibu na sheria za uchaguzi...
Lowassa haruhusiwi kuhutubia, sbb KAMPENI ZA UKAWA hazijafunguliwa rasmi... ni kosa kisheria kuhutubia na kunadi sera wakati KAMPENI RASMI za UKAWA bado haijafunguliwa... ingawa NEC washatoa green light...!!
Sijui umeelewa..!? Maana wamang'ati inabidi urudie rudie na kurudia tena ndio muelewe...!!!
Personal...👇👇👇👇👇👇👇
Anyway bado mnavaa ngozi...? Siku hizi
mko Endasaki hadi Haydom au Hanang..
Kuna mwanamke mmoja wa kimang'ati... alikuwa anakaa Mto wa Mbu, nilipitia pale miaka kama 9 iliyopita nikaa Mto wa Mbu for a week...!! Alikuwa na jina gumu, alikuwa na miaka kama 21 wakati ule... sasa tumepotezana hana simu.. daaah wee acha tu... siku moja nitaenda mto wa mbu tena.. naapa nitazunguka hadi nimpate....siwezi hadithia...alikuwa kama mzungu, macho kama mwarabu..uso kama msomali... sura kama Mzungu,.mwarabu, msomali, nywele kama Mwarabu... pua, ngozi, daah... kama malaika aisee... nahisi Wazungu au watalii watakuwa washamchukua... Mungu anaumba jamniiiii....👏👏 Roho inaniuma sana...yaani...akicheka tu..moyo wanienda mbio mbio... Daaah...watu wa huko bana... Karatu, Mbulu, Hanang, Babati... lol... watu wa huko ni warembo kupita maelezo aisee...!!! yaani...💋
Lucy... ww ni wa wapi..!? samahani lkn..!!
Kama ni mmang'ati niambie bibie...
👏👏💑💑