Labda nikuulize wewe.
Mimi ni Queen Esther. Uwanja wa kina mama ndio haswa unaonihusu. Nitafungua Uzi mwingine wa Madame Samia wakati ukifika. Kwa hapa zingatia kichwa cha habari tafadhali. Usitoke nje ya mada.
Queen Esther
LOWASSA alishafanya mengi sana hivyo sisi watanzania malofa tunamjua, LOWASSA hana kazi ya kupiga kampeni kazi ya LOWASSA hivi sasa ni kupunga mkono tu then sisi tunampa kura bila jasho
Wee katumia dakika 8 tu!!
Lowasa ni msumari wa mwisho katika jeneza la ukiwa...
Mbowe umeyataka mwenyewe!!!
Kumbe watu wanapend maneno mengi
Si alishasema leo hatoi hotuba!
Nadhani umemsikiliza mama Regina Lowasa alivyotoa hotuba ya changamoto za wanawake, Lowasa kamwachia mkewe ajimwage yeye kawapa kazi moja wanawake ya kumtafutia kura
Halipo hilo hajui kujieleza huyo
Nimepoteza muda wangu kufatilia kwa makini Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium, ili nisikie Mhe Lowassa amewaandalia nini Wake na Mademu zetu.
Ila nimeshangazwa na hutuba yake, ambayo haikubabadua chochote cha kuwabadilishia awa viumbe!
Aisee UKAWA jipangeni, mgombea wenu hawezi kumiliki jukwaa, kusema ukweli!!
Nafikiri hukuwa makini unapo msikiliza Lowasa amesema changamoto walizo ziahinisha wamezisikia na wataeleza utatuzi wake siku ya juma mosi, hawajaanza kampeni alisema hawezi kuzungumzia mikakati maana itakuwepo kwenye Ilani atajibu juma mosi na ni kweli hapo alikataa kulizungumzia. Kuhusu wimbo wa Aliselema na mchakamchaka hakuna mwenye hati miliki ya wimbo huo, ni wimbo wa kuimbwa na kila mtu maana yake ni moja tu kama magufuli angekuwa amesha pewa hatimiliki na baraza la wasanii ningekuelewa duh nlifikiria sana kabla hujaongea na kuamua kuhamia upande wa pili
Ulifatilia lkn hukusikia alichokiongea toka mwanzo, alianza kwa kusema Leo sikusudii kutoa hotuba
Duh kwahiyo alikuwa anawaonyesha wanawake maumbile?kiswahili hiki!
Kwikwikwikwi...kwanini H.Mdee asingesema kuwa wanakutana na regina?? Mmechemka
Endelea kujidanganya!
Tupo pamoja sana,watu wanafikiri uraisi nikubeba zege,watu wanafikiri urais nikuongea sana,yuu wapi yule hand some boy aliyependwa na wanawake?kama hujazoea kuongopea raia kamwe huwezi kuwa muongeaji sana,ila mtu anaongea sana niwakuogopwa kama ukoma tumejifunza mengi mdau.
Si alishasema leo hatoi hotuba!